Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Umeonyeshwa mara ngapi ripoti ya World bank inayosema kwamba by 2019 Kenya ilikuwa na Gdp ya $95.5 Billion?Ok just dare to show me and I am going to leave jf.
Au unataka kutuaminisha kwamba hujawahi kuona hio report licha ya hio report kupostiwa hapa mara nyingi?
By the way hakuna haja ya wewe kutoka JF, baki tu lakini ni muhimu uwe na mentality ya kujifunza mambo mapya na kupigania ukweli hata kama ukweli wenyewe unakinzana na matarajio yako.
Ukweli ni ukweli na hautabadilika hata tufanye nini. Kenya ina mambo mengi ambayo unaweza kuikosoa ambayo imefanya ikiwemo kuomba deni nyingi lakini hakuna haja ya wewe kusema mambo ambayo sio ya kweli kwamba Gdp ya Kenya ni $70 billion. Hivi hujui Gdp ya Tanzania ipo karibu kufikia hio $70 billion? Kwa hivyo unasema kwamba Gdp ya Kenya na ya Tanzania zipo karibu kutoshana? Deni ya Kenya pekee imekaribia hio $70 billion sasa utasemaje kuwa Gdp yetu ni $70 billion unless hauko serious na ndio maana nilikuambia hauko serious.
Tazama World bank 2019 Gdp rankings.
Selected Countries and Economies
CountryMost Recent Year
Most Recent Value
(Millions)
Sub-Saharan Africa
2019
1,766,941.40
Sub-Saharan Africa
CountryMost Recent Year
Most Recent Value
(Thousands)
Angola
2019
88,815,697.79
Benin
2019
14,390,709.09
Botswana
2019
18,340,480.94
Burkina Faso
2019
15,990,803.57
Burundi
2019
3,012,334.88
Cabo Verde
2019
1,981,845.74
Cameroon
2019
39,007,354.36
Central African Republic
2019
2,220,307.37
Chad
2019
11,314,951.34
Comoros
2019
1,165,839.93
Congo, Dem. Rep.
2019
50,400,746.17
Congo, Rep.
2019
12,267,392.15
Cote d'Ivoire
2019
58,539,424.93
Equatorial Guinea
2019
11,026,774.95
Eritrea
2011
2,065,001.63
Eswatini
2019
4,471,598.73
Ethiopia
2019
95,912,590.63
Gabon
2019
16,874,450.22
Gambia, The
2019
1,826,073.74
Ghana
2019
66,983,634.22
Guinea
2019
12,296,665.33
Guinea-Bissau
2019
1,339,449.17
Kenya
2019
95,503,088.54
Lesotho
2019
2,376,328.64
Liberia
2019
3,070,518.10
Madagascar
2019
14,114,631.28
Malawi
2019
7,666,704.43
Mali
2019
17,279,566.72
Mauritania
2019
7,600,656.94
Mauritius
2019
14,048,430.52
Mozambique
2019
15,291,448.21
Namibia
2019
12,366,528.26
Niger
2019
12,911,689.66
Nigeria
2019
448,120,428.86
Rwanda
2019
10,354,417.73
Sao Tome and Principe
2019
418,637.39
Senegal
2019
23,578,084.05
Seychelles
2019
1,703,387.39
Sierra Leone
2019
4,121,733.71
Somalia
1990
917,044.23
South Africa
2019
351,431,649.24
South Sudan
2015
11,997,800.76
Sudan
2019
30,513,456.08
Tanzania
2019
63,177,068.17
Togo
2019
5,490,272.41
Uganda
2019
35,165,157.02
Zambia
2019
23,309,773.92
Zimbabwe
2019
21,440,758.80