Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mataga hamjambo ? Tupoe na msiba.
Sasa lini tunafika Moro na kuanza kazi ?
Hivi Bandarini mtapitia njia gani ?
Sasa SGR chini ya Mama Samia itajengwa kwa kuwashirikisha Watanzania kama wa miliki kwa kuwauzia shares.
Mambo ya kujenga SGR kwa faini za magari hatufiki na kila jengo linapunguzwa ku save.
Mataga mpooo
 
Hahaha, mimi sio MATAGA but I like the slogan, however hakuna kilichobadilika, huyu mama Samia ni ruthless kuliko hata JPM, time will tell...
 
Huyu mama ni hatari zaidi kuliko Magufuli...Mungu anatupenda Sana Tanzania...Tuzidi kumuomba na kuchagua viongozi wanao mtanguliza Mungu....
 
The so called Wapinzani waneshasahau few months ago walikua wanalalamika juu ya Mama Samia kusema kua hata wafanye nini Serikali itaendelea kuwa ni ya CCM.

Kwa kifupi ni kuwa wana CCM kutoka Zanzibar ni more radical kuliko wanaotoka TZ Bara, hii ni kwa sababu ya uwananamapinduzi wao na upinzani mkali kule Zanzibar kuliko Bara...
 
Toeni siasa zenu za ujinga hapa. Huku tunajadili miundombinu. Siasa nendeni mkajadili katika jukwaa la siasa. Mnaharibu huu uzi na upuuzi wenu. Wajinga nyie.
 
Mataga hamjambo ? Tupoe na msiba.
Sasa lini tunafika Moro na kuanza kazi ?
Hivi Bandarini mtapitia njia gani ?
Sasa SGR chini ya Mama Samia itajengwa kwa kuwashirikisha Watanzania kama wa miliki kwa kuwauzia shares.
Mambo ya kujenga SGR kwa faini za magari hatufiki na kila jengo linapunguzwa ku save.
Mataga mpooo
Akili ya mafii kama yako bora uachane nayo ufanye vitu vingine tuu [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Aawapii kwa mwendo wa Madam Suluhu GoT itajibu na ring superhighway kutoka Bagamoyo mpaka Dar port ya 16 interchanges na over 100 km!
Hahaha. Uongo mtupu. Mradi huo hautawahi kuzinduliwa. Mark my words.
 
Toeni siasa zenu za ujinga hapa. Huku tunajadili miundombinu. Siasa nendeni mkajadili katika jukwaa la siasa. Mnaharibu huu uzi na upuuzi wenu. Wajinga nyie.
Huna heshima wewe hata kwa watu waliokuanzishia hii Kenyan Sub-forum, shukrani ya punda...
 
[emoji15]
umesahau kuna outer ring project ya kuingia bandarini bila kupita Ubungo nathani moja inatoka Chalinze inapitia Pugu mpaka kuingilia daraja la Nyerere Kigamboni! Wakati nyingine itaenda Bagamoyo!
 
safii
ingawa naona ni taarifa ya muda kdg, au ndo ile chalinze inatobozea tegeta ipo kwe project hiyo ya outer ring road?
 
kama hiyo na inatokea Chalinze inaenda mpaka Kigamboni inakuja kuingilia bandarini kwa kuvuka daraja! Ni project ya siku nyingi ila fedha hamna baba ila sitashangaa ikifanyika ndani ya miaka 5 ijayo!
 
Hii train inaonekana inanyonya umeme megawati nyingi sana.
Hii iwajib wale wabishi juu ya Tz double stack
Screenshot_20210329-194302.jpg
 
Back
Top Bottom