eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Shaulin temple.
🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama inauma chomoa au tupake mate simple like that.Itawachukua miaka mia moja kufikia hapo
Pole sana, jaribu tena, Hapo ulichofanya ni Visual Deception..
Na hiyo ndiyo purpose ya wachina [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole sana, jaribu tena, Hapo ulichofanya ni Visual Deception..
Hio observation tower ni ndefu zaidi, Kwenye hio angle ya picha uliopost ndo unaweza kudanganya macho ikae kana kwamba iko hapo kileleni mwa jengo , lakini hio tower ni ndefu zaidi tena iko na shape ya "V" View attachment 1839962
View attachment 1839961
From this angle hata inakaa kama landing pad ya spaceship
![]()
Alafu stesheni yenyewe si mduara tu kama ulivyoionyesha, huo mduara unaendelea na kuform shape ya "S", inakaa kama (Ripples) yani yale mawimbi madogo yanayotokea ukiangusha kitu ndani ya maji
View attachment 1840006
Nini hio na jumba ni ripple za maji na liko Mombasa kwenye bahari! unatafuta sana maana nyengine!Na hiyo ndiyo purpose ya wachina [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Liko wapi hebu nioneshe.Nini hio na jumba ni ripple za maji na liko Mombasa kwenye bahari! unatafuta sana maana nyengine!
Wakati hili jengo lenu hakuna kubahatisha! Hii ni modern version of a Chinese traditional architecture [emoji23][emoji23] No doubt
![]()
![]()
![]()
![]()
Hili nalo ni Jengo la Taiwan ambayo under Chinese control
![]()
Liko wapi hebu nioneshe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapojengewa nyumba ya kulala kwa mkopo!
![]()
Hazifanini hata kidogo, complete opposite!
Mmewekewa mpaka ngazi za temple!Hazifanini hata kidogo, complete opposite!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wachina bwana.. sema nn ni uzembe wa waafrica wenyewe kufumbia macho maujinga kama haya
ukiwa umekopa yaani mdaiwa hata dole mchina anakuchamba na unaliugulia! Ndo kinachoendelea huko Kunyaland![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wachina bwana.. sema nn ni uzembe wa waafrica wenyewe kufumbia macho maujinga kama haya
hapo kupandisha lazima uwe na kipara no moka muchiko za jack chen...Hazifanini hata kidogo, complete opposite!
NIT rector, Professor Zacharia Mganilwa addressing journalists in Dar es Salaam last week. Photo: Guardian Correspondent.