Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

E575K8dXsAIvZti
 
Kwahiyo tuwe na bandari kubwa mbili sehemu moja zen mzigo wa kulisha hizo bandari utatoka wapi, wakati mwingine Geza huwa sikuelewi kabisa, siku hizi umekuwa anti Magu kwa mambo mengi hata yale ya wazi kabisa kwamba hayati alikuwa right but umekuwa ukipinga kabisa kwanini unafanya hivyo?
My friend! Bandari ya Dar sio Bandari kubwa. Ni ucharu tu na sasa hata nafasi ya kuongeza gati hakuna. Kule mwisho si tulijenga daraja. Building Bayamoyo port is inevitable. Just think na weka siasa kando.
 
Hujaelewa concept ya Bagamoyo port inaelekea. China silk route is firmly dependent on Bagamoyo port that will be first port of call for giant marine ships(mega vessels) from far east all eastern african cargo from Djibouti Mombasa Dar es salaam ports in Mozambique and Durban will land in bagamoyo there after transhipped to these ports using smaller vessels. Ideally bagamoyo is a transhipment port hub with local contents on industrial park ambayo itaanzishwa bagamoyo ku feed the port.
 
Kumbuka bandari ya dar inaukubwa wa 2.6 km kwaiyo unavyo sema ndogo labda base generations lakini haimanishi haiwezi kuwa ecquiped well
 
Apo ww nahisi hujaielewa concept ya bandari hii ...kifupi idea sio bandari tu bali bandari ni kasehem ka project kutakuwa na viwanda pia bandari hii itakuwa ya 4 generation...kwamana hii efficiency ya hii bandari itakuwa significant compared to Dar port sasa unafikiti kuna uhai kwa bandari ya dar given a fact that there will be a grace period? Hata kiushindani tuuu dar port will never stand a chance mbaya zaidi hizi bandari mbili hazitakuwa na comperative advantage as some people claims
 
Kumbuka bandari ya dar inaukubwa wa 2.6 km kwaiyo unavyo sema ndogo labda base generations lakini haimanishi haiwezi kuwa ecquiped well
what's the length of 2.6 km for a quayside of a mega port!? hivi unajua saahii kuna meli zenye length zaidi ya 400 m (Post panamax) Mbona bandari yetu ni ni ndogo sana kama unajua mega ports zinakaaje! pale Dar port hata dreading ya kuongeza kina ikikamilika meli ya urefu wa 400 m inageuza kwa mbinde sana!

Hivi unafikiri meli kama hii inaweza operate hassle free Dar port?
 
Hii inaelekea ni bridging order to Hyundai Rotem order It must be from another korean manufacturer Sung Shin rolling stocks the types of trains and general outlook might be different from Hyundai ones. This was necessary for early operationalization of SGR services rather than waiting until year 2024
Wacha excuses. Mnaletewa vichwa vya ng'ombe
1625977622182.png

Watanzania wamelia sana huku 👇 👇

Wacha excuses. Mnaletewa vichwa vya ng'ombe
View attachment 1849202

Watanzania wamelia sana huku [emoji116] [emoji116]

Hiyo locomotive ni 100x better than mtungi wenu wa 70s Tazara line tulikuwa na mitungi kama yenu 70s
 
Wacha excuses. Mnaletewa vichwa vya ng'ombe
View attachment 1849202

Watanzania wamelia sana huku [emoji116] [emoji116]

Jamani mchina Mungu anawaona mjue! kwanini mnawatesa ndugu zetu kwa kuwaibia mchana kweupe. Huu mtungi hata SIDO wanauchonga bila tabu.
20210711_082758.jpg
 
A tale of two railways. Different SGR in terms of specs. One is electrified the other one is diesel powered, one runs at 160kph the other 120kph, one weight per axle 35 tons the other 25 tons, one European standards the other mandarin standard, one is cheaper to build the other overly expensive, one modern rolling stock the other old fashioned rolling stock, one built by internal sources of revenues the other built by loans from China, one runs to the great lake region the other runs to nowhere, one is runned by owners the other is run by creditors, one has modern air conditioned terminals with restaurants and shopping outlets the other has old fashioned terminals hall type. Wangine tuendelezee nilipoishia
20210711_082758.jpg
20210711_083203.jpg
 
A tale of two railways. Different SGR in terms of specs. One is electrified the other one is diesel powered, one runs at 160kph the other 120kph, one weight per axle 35 tons the other 25 tons, one European standards the other mandarin standard, one is cheaper to build the other overly expensive, one modern rolling stock the other old fashioned rolling stock, one built by internal sources of revenues the other built by loans from China, one runs to the great lake region the other runs to nowhere, one is runned by owners the other is run by creditors, one has modern air conditioned terminals with restaurants and shopping outlets the other has old fashioned terminals hall type. Wangine tuendelezee nilipoishia View attachment 1849248View attachment 1849249
Tuonyeshe yenu ya mizigo vile inafanana!!!
 
Ni muhimu kuelewa kizungu and that is what Tanzania is suffering from.
Electric doesn't generally mean efficient. Despite being diesel, The Kenya sgr has carried more passengers and cargo than any sgr in eastern Africa including the Ethiopian electric sgr which was launched earlier than the Kenyan one.

2019-10-16T000000Z_602441348_RC16D3D991B0_RTRMADP_3_KENYA-RAILWAY-e1602214757183.jpg
 
Ni muhimu kuelewa kizungu and that is what Tanzania is suffering from.
Electric doesn't generally mean efficient. Despite being diesel, The Kenya sgr has carried more passengers and cargo than any sgr in eastern Africa including the Ethiopian electric sgr which was launched earlier than the Kenyan one.

View attachment 1849305
Ambia hawa atoa mapovu Mr English! I bet ur meaning of efficient omits procument- and operating costs! Efficient SGR Kunyaland means being overcharged on procurement cost and high operating costs while running! Those 79 comments from fellow Kunyans hawajui Kizungu, what a fool Mr English!!

Back
Top Bottom