komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwhyo hapo ndio patatumika ku control flow ya treni zenu sio[emoji1787][emoji1787]toa ushamba dogoView attachment 1857423
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwhyo hapo ndio patatumika ku control flow ya treni zenu sio[emoji1787][emoji1787]toa ushamba dogoView attachment 1857423
Hapo kituoni treni zinajeuzia wapi
Unadhani huwa anajifunza basi...jiandae kumjibu tena siku nyingine maana atatoa boko kama hili [emoji23][emoji23][emoji23]ila leo umetoa boko la mwaka
suala la kugeuza hakuna haja.. emu zetu zinakuwa zipo kama ‘symmetric’.. kichwa cha mbele kipo hivyohivyo kama kichwa cha nyuma so hakuna haja ya kugeuza
huu ni mfano..
View attachment 1857473
afu usijifungie ndan tu.. tafuta hela usafir nchi za watu upate exposure..
mwakan january karibu bongo uzione emu za kwanza EA nzima
Ile mitambo yao ya chang'aa treni ikifika Nairobi wanaondoa kichwa wanaunga nyuma ready to go to Mombasa!ila leo umetoa boko la mwaka
suala la kugeuza hakuna haja.. emu zetu zinakuwa zipo kama ‘symmetric’.. kichwa cha mbele kipo hivyohivyo kama kichwa cha nyuma so hakuna haja ya kugeuza
huu ni mfano..
View attachment 1857473
afu usijifungie ndan tu.. tafuta hela usafir nchi za watu upate exposure..
mwakan january karibu bongo uzione emu za kwanza EA nzima
next time utaulizwa tank la mafuta! 🤣 🤣 🤣 ☝️ 🤷♂️tatizo wanakula hadi mizizi ya bangi[emoji23][emoji23]
![]()
Ile mitambo yao ya chang'aa treni ikifika Nairobi wanaondoa kichwa wanaunga nyuma ready to go to Mombasa!
wanaiita "Chinese first class"!then bado wanataka ligi na SGR yetu??!!! [emoji2960]
Kwani hizi track zipo ngapi? Wacha upumbavu!Kw zile track mbili pale stesheni dar ndio mtakua mna control hyo flow..
Train delay kwisha treni kw stesheni ya dar haifiki
Uganda is using MGR to transport her fuel!
![]()
Kunyaland haina meli ya mafuta! Take that to the bank! In the lake Victoria only Tanzania has oil tankers!Hapa mliona sisi tumefufua meli yetu ya mafuta nanyi pia mkaamua kutucopy kama kawaida yenu.
Meli sio lazima iwe tanker ili ibebe mafuta. Hata meli ya ro-ro inaweza kubeba wagons za mafuta. Na hata hio yenu uliyopost kwenye picha huko juu sio tanker bali ni ro-ro ship.Kunyaland haina meli ya mafuta! Take that to the bank! In the lake Victoria only Tanzania has oil tankers!
Hii EMU sasa itabeba watu wangapi? Inaweza kuwa itabeba watu wachache sana. Mwenye data aweke.ila leo umetoa boko la mwaka
suala la kugeuza hakuna haja.. emu zetu zinakuwa zipo kama ‘symmetric’.. kichwa cha mbele kipo hivyohivyo kama kichwa cha nyuma so hakuna haja ya kugeuza
huu ni mfano..
View attachment 1857473
afu usijifungie ndan tu.. tafuta hela usafir nchi za watu upate exposure..
mwakan january karibu bongo uzione emu za kwanza EA nzima
hiyo ni wagon ferry na mafuta yanakuwa kwenye rolling stock! Fool u need to specify! Ati Kunyaland ina oil tanker!? 🤣 🤣 ☝️ 🤭Meli sio lazima iwe tanker ili ibebe mafuta. Hata meli ya ro-ro inaweza kubeba wagons za mafuta. Na hata hio yenu uliyopost kwenye picha huko juu sio tanker bali ni ro-ro ship.
Komora bhn huwa anachekesha sn sometimes, eti "pakujeuzia" wkt hilo pia alikosea ila anatafuta pa kutokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehe!!"kujeuzia" unaelewa nini mzee, labda ni kiswahili ndio hamuelewi mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]next time utaulizwa tank la mafuta! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji3516] [emoji2369]
Naona leo umekasirika sana kw kuwaonyesha watu km nyie hapo dar station mumejengewa kitukoKomora bhn huwa anachekesha sn sometimes, eti "pakujeuzia" wkt hilo pia alikosea ila anatafuta pa kutokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba hakuna pakujeuzia au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona leo umekasirika sana kw kuwaonyesha watu km nyie hapo dar station mumejengewa kituko
Tukiwaambia electrical SGR Tanzania is by far superior to diesel SGR Kunyaland, wanabisha!Kwamba hakuna pakujeuzia au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba hakuna pakujeuzia au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uyo ndo alivyo huyo huwa anakurupuka tu ukimkamata anazuga, sasa eti anazuga kwamba kuna msamiati unaitwa "kujeuza" kwamba hyo kujeuzia alimaanisha parking, wallahi nimecheka kdg nianguke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila mshikaji wako katoa kali ya mwaka leo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] eti pakujeuziaa