Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Ukoloni gani🙄Na nyie muwaache Wasomali wa Wajir na Mandera wajiunge na Wasomali wenzao. Ukoloni mnaowafanyia una mwisho wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukoloni gani🙄Na nyie muwaache Wasomali wa Wajir na Mandera wajiunge na Wasomali wenzao. Ukoloni mnaowafanyia una mwisho wake.
Wasomali kutawaliwa na watu wasiyo Wasomali kimabavu.Ukoloni gani🙄
Kwani sio Wakenya🙈Wasomali kutawaliwa na watu wasiyo Wasomali kimabavu.
Wasomali ni Wasomali na siyo Wakenya, hawana uhusiano na Wakikuyu wala Wakalenjin.Kwani sio Wakenya🙈
We sema unatamani kua mkabila.Wasomali kutawaliwa na watu wasiyo Wasomali kimabavu.
Ngoja tuache hayo mambo mada ya SGR iendelee.We sema unatamani kua mkabila.
uko TZ si Kuna WaShona ama Hao sio Watz🤔Wasomali ni Wasomali na siyo Wakenya, hawana uhusiano na Wakikuyu wala Wakalenjin.
Daniel Moi aliuwa Wasomali wengi kwa ujinga wake.
Akili yako imepotea Lakini sikulaumu nalaumu selikali yenyu ya kijamaa imachangia kufifia kwenyu KiakiliNgoja tuache hayo mambo mada ya SGR iendelee.
Haita affect majirani manake karibia kila kioo kimewekwa angle tofauti kwahivyo hakutakua na reflection ambayo iko concentrated mahali pamojavip reflection kuaffect watu wa ofisin wa jiran na hilo jengo..
Hio ni sababu ya kitotomara haitaaffect mara vioo viko angle tofauti! acha ujuaji.. hata kama viko angle tofauti kuna vioo reflections zake zitagusa watu walioko juu ghorofa na wengine maeneo ya level ya kati. bora wameweka hivyo walivyoweka sio vile ulivyotaka
Jengo ni eco friendlyHivi vioo wangeeka opeque tinted glass mpaka iwe ukiangalia kutoka nje hauoni ndani. Hio shape ya Tanzanite ingetokea vizuri zaidi manake opaque glass inatoa reflection vizuri, ingekua ukiangalia unaona reflection ya ku metameta kwa jua au mawingu
View attachment 1875274
Siyo yenyu wala imachangia wewe nyan'gau, bali ni yenu na imechangia. Hebu acha kuharibu. Halafu siyo selikali bali ni serikali. Unatia kichefuchefu.Akili yako imepotea Lakini sikulaumu nalaumu selikali yenyu ya kijamaa imachangia kufifia kwenyu Kiakili