Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
Mombasa-port inashinda dar-port ambayo ndio main city ya danganyika [emoji23][emoji23] what a shame.bange mbaya,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mombasa-port inashinda dar-port ambayo ndio main city ya danganyika [emoji23][emoji23] what a shame.bange mbaya,
evidence? as i told u aside those three i.e. Japan, South Korea and China no other is having operational Maglev!Nimetaja aina tatu za gauge kaka.
Broad,standard maglev.
Sijasema kama nchi zote zinatumia maglev nop.
Bali hzo aina tatu za reli ndizo wanazozitumia
Kuna kipande mchina ametoa pesa sijui ni kutoka osaka hadi mwanza baada ya mturuki kukaa miaka 5 bila kumalizia 100km hadi Morogoro.Ya Tz inajengwa na Yepi Merkezi y Uturuki sio China.
Hahahah kaka ww huelewi wapi?evidence? as i told u aside those three i.e. Japan, South Korea and China no other is having operational Maglev!
Mh kaka hizo habari umezisikia wapi?Kuna kipande mchina ametoa pesa sijui ni kutoka osaka hadi mwanza baada ya mturuki kukaa miaka 5 bila kumalizia 100km hadi Morogoro.
Kumbuka sgr ya Kenya ni 600km long.
The issue here is jointed rails like SGR Kenya are outdated design/technology whether they r SGR or broad gauge or mGR or anything mind u maglev does not use wheels! So since u have been arguing, i challenge u to get me evidence that jointed rail is uptodate (latest technology)! Less than that better keep quiet!Hahahah kaka ww huelewi wapi?
Nimesema nchi zilizoendelea zinatumia broad gauge,standard gauge na maglev.
Bimaana haimaanishi nchi zote zinatumia mifumo yote hiyo mitatu ya reli bali zipo zinazotumia broad gauge,zipo zinazotumia standard gauge,zipo zinazotumia maglev na zipo zinazotumia mifumo yote ama mifumo miwili.
Hapo utakua umenielewa embu acha kukaza kichwa basi kaka.
NILICHOMAANISHA HIYO NDIYO MIFUMO YA RELI INAYOTUMIKA KWA WENZETU IWE YOTE AU MMOJA MMOJA.
EISH KAKA.
Unachanganya kichwa ww ujuaji mwingi hupotosha.The issue here is jointed rails like SGR Kenya are outdated design/technology whether they r SGR or broad gauge or mGR or anything mind u maglev does not use wheels! So since u have been arguing, i challenge u to get me evidence that jointed rail is uptodate (latest technology)! Less than that better keep quiet!
well said as huchomoki kwenye ku-prove jointed rails are uptodate technology!Unachanganya kichwa ww ujuaji mwingi hupotosha.
Mpaka hapa nishajua huelewi wap unaelekea.
TUENDELEE NA MENGINE 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mbona unaumia kiboya ...iyo jointed rail ni peace of shit...kitu inatoa noice all the way...na bado uko apa kuitetea mtungi wa chang'aa[emoji16][emoji16][emoji16]Kila kitu kina advantages na disadvanges, huwezi kuja hapa uka justify ya kwamba jointed rail ni outdated kw maneno matupu kutoka kichwani mwako
Kipande cha mwanza isaka ni mchina tumempaaMh kaka hizo habari umezisikia wapi?
njia ya Dar to Morogoro ilikamilika kilometa zote 245+ muda mrefu sana to 2019 na sasa hv Morogoro to Makutupora Singida inakaribia kukamilika na njia ya Tabora kuelekea Isaka kupitia Mwanza inajengwa taratibu na waturuki wenyewe.
Yani kitakachobakia ni umeme na stations basi.
Kazisome vzuri hzo taarifa bro itakua umezinukuu vibaya au ww unasemea marekebisho ya metre gauge.
SGR!?Kipande cha mwanza isaka ni mchina tumempaa
Jointed rail is being phased out as it is prone to noise, disturbances, wheel injury, low speed, thermal expansion defects, cracks on joints and vandalism.The issue here is jointed rails like SGR Kenya are outdated design/technology whether they r SGR or broad gauge or mGR or anything mind u maglev does not use wheels! So since u have been arguing, i challenge u to get me evidence that jointed rail is uptodate (latest technology)! Less than that better keep quiet!
Ndiyo.SGR!?
kumbe,nilikuwa sijui hilo,Mombasa-port inashinda dar-port ambayo ndio main city ya danganyika [emoji23][emoji23] what a shame.
Mombasa port is bigger than Dar-is-a-slum port. Na Mombasa sio jiji kuu la Kenya kama Dar.kumbe,nilikuwa sijui hilo,
daah ticha ojwani ngoja nirudi shule nikaitafute hiyo mombasa
ulitegemea bandari iwe Nairobi,,Mombasa port is bigger than Dar-is-a-slum port. Na Mombasa sio jiji kuu la Kenya kama Dar.