Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Unategemea tujenge reli ya umeme alafu tuwenge mitungi? Kenya tumewafundisha vitu vingi sana na bado mtaendelea kuisoma.
Hakuna reli ya umeme (unless tunaongelea Maglev ambayo haipo Africa for now). Treni ndio ya umeme. Treni ya umeme inaweza wekwa Kwa reli yoyote including hiyo MGR yenu. Ni nini unatufundisha kama huelewi jambo la msingi kama hilo?
 
Hiyo treni ya umeme inapita juu ya gogo au, by the way nyie ni washamba hamjawahi kuwa na electrified SGR ona hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211124-231303.jpg

My Take

Kenya mta electrify reli yenu miaka 7000 ijayo.
 
Hiyo treni ya umeme inapita juu ya gogo au, by the way nyie ni washamba hamjawahi kuwa electrified SGR ona hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2028563
Nimekuelezea, hakuna reli ya stima. Hakuna kitu kama electrified SGR. Kuna SGR ambayo sisi tunayo, Ethiopia wanayo, nyinyi bado mnang'ang'ana kuijenga alafu Kuna electric trains ambazo Ethiopia pekee wanazo.
 
Unaweza kunipa maana ya "ku electrify SGR?"
 
Makenya hayapendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211201-222403.jpg
Screenshot_20211201-222412.jpg
 
Back
Top Bottom