Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Si kila data inaweza kuwa published najua Tony pasina shaka unajua hilo hata hao KAA hawawezi kuweka data za KQ wazi kwamba imeruka mara ngapi imebeba abiria wangapi kuelekea wapi na sio KQ tu ni kwa ndege zote, hii ni kwa ajili ya sababu za kibiashara!!!! Vital information kama hizo ni silaha,Taasisi hizi hutoa vitu general tu ikiwemo Idadi ya miruko ya ndege, Passenger Volume na Cargo Tonnage na hii ni kwa ajili ya planners na investors!!!!japokuwa info kama hizo zinakuwepo ila ni kwa ajili ya matumizi ya ndani tu.
Point yangu ilikuwa ni kumueleza coodip1 kwamba KAA ina information yote ya KQ. Sikumaanisha kwamba KAA huwa inachapisha information yote, obviously kuna sensitive info ambayo haiwezi kuchapishwa. Nilikuwa namrekebisha Coodip aliyesema kimakosa kwamba KAA haikusanyi information ya KQ.
 
Sawa sawa brother!!!
 
Kwahiyo KAA inaweza kujua KQ kapata faida sh ngapi kwenye route ama unataka kusemaje?
 
Nondo zinazotumika Kwenye Tanzania SGR
FB_IMG_1644090141131.jpg
 
Back
Top Bottom