Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Apo tupo pamoja mkuuHii ndio design nzuri ya rangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo tupo pamoja mkuuHii ndio design nzuri ya rangi
Na mzigo wa april ndio unatoka kwao....
Kwa hiyo nyerere road kutakua viaduct mbilimi nimependa rangi tuu!
Nadhani kuna ile EMU inakua na vichwa mbele na nyuma na mabehewa 8 for short trip may dar Moro au Moro dodoma , nadhani makutupora kwenda mbele huko inaitaji mabehewa mengi zaidi ndio wanafanya hao skoda. Lakini hii official statement ngoja wenyewe TRC waseme
Huyu mwali mmemwibua wapi? Naona ana shape ya kibongo bongo.Aisee....
![]()
sasa hili daraja limekamilika lini? unaua stimu na mapicha ya zamani!Mgr ikiwa sambamba na sgr
Mto Ruvu - 2019 /2020
View attachment 2129062
View attachment 2129063
View attachment 2129064
Ni rangi tu hamna mahali imesemwa ni za TRC!Huyu mwali mmemwibua wapi? Naona ana shape ya kibongo bongo.
Km ile ITX ...imethibitika basi na hii itakuw iyo iyoo Na mzigo wa april ndio unatoka kwao....View attachment 2128829View attachment 2128834
ionekane kazi ilivyofanyika vikwazo mbalimbalisasa hili daraja limekamilika lini? unaua stimu na mapicha ya zamani!