Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wewe unaota iliyokufa ni KR yetu haijawahi kufa hata siku moja uliza wenzako wakufahamishe vizuri
Kwahivyo reli ya Central corridor ya kutoka Dar hadi Moshi, Mwanza haikuamshwa hivi juzi juzi, hebu nipe takwimu za mizigo iliobebwa tangu 2013?

Alafu BTW, KR haijawahi kufa, Meter Guage inafanya kazi hadi leo, Kabla SGR kuanza kazi, MGR yetu ilikua inabeba mizigo mingi kuliko hata Tazara!

Hii ni picha imechukuliwa kutoka kwa SGR ikionyesha MGR bado inafanya kazi

1648563029979.png
 
sijapinga mimi, ninachosema ni kwamba uchumi wa DRC haijafika critical mass, Hapo mbeleni DRC ndo itakua na mizigo mingi sana kushinda hata kina Uganda na Ethiopia.... Ikifika wakati huo basi mashindano kati ya Dar na Msa yakatua makali
Nani kakuambia? na mining industry yote ya copper unasema DRC haina critical mass? Wewe as Kunyan unajua nn kuhusu mining?
 
Nani kakuambia? na mining industry yote ya copper unasema DRC haina critical mass? Wewe as Kunyan unajua nn kuhusu mining?
DRC iko na potential kubwa lakini haijafikisha critical mass. Hata haijafikisha robo ya potential yake... You are thinking small.... If the world was fair, DRC ndo ingekua biggest economy in East and Central Africa.... Infact, Nje ya SA na Egypt sidhani kungekua na nchi nyengine yenye mizigo mingi ya import/export. Hio nchi bado imelala sana, wakiamka hao jamaa itabidi bagamoyo ifufuliwe kwa ajili yao tu!
 
Kwahivyo reli ya Central corridor ya kutoka Dar hadi Moshi, Mwanza haikuamshwa hivi juzi juzi, hebu nipe takwimu za mizigo iliobebwa tangu 2013?

Alafu BTW, KR haijawahi kufa, Meter Guage inafanya kazi hadi leo, Kabla SGR kuanza kazi, MGR yetu ilikua inabeba mizigo mingi kuliko hata Tazara!

Hii ni picha imechukuliwa kutoka kwa SGR ikionyesha MGR bado inafanya kazi

View attachment 2168390
Uliza wenzako wakufahamishe vizuri kuhusu central corridor rail
 
Extend SGR to Congo border

In Summary
• Congo is about to join the EAC and its admission will swell the single market to over 300 million people
• Transport links between Congo and East Africa are still worse than they there were in the colonial period

Wagons are hauled by the SGR cargo train.
Wagons are hauled by the SGR cargo train.
Image: FILE

The Democratic Republic of Congo has become a member of the East African Community. This is a very good thing although it will not be popular with some people.

The addition of 90 million Congolese will raise the total population of the EAC to over 300 million. This large single market will be attractive to investors and beneficial to Kenyan manufacturers.

Congo still has to ratify the EAC invitation but Congo should soon be joined with Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania and Uganda.

To some extent, this only formalises an existing reality: arguably, eastern Congo has closer trade links with Uganda and Rwanda than with the west of the country.

Truck drivers have already welcomed the prospect of minimal border control but to get the maximum benefit of Congo's joining the EAC, transport links need to be massively improved. In the colonial period, the Ugandan railway linked by boat and road to Kisangani and Juba.

It is now time to find the funding to extend the SGR railway past Kampala to Lake Albert and beyond. With an efficient railway system, a giant dynamic single market would become a reality.

Quote of the day: “My life had lost its relish when liberty was gone.”

Kwahivyo reli ya Central corridor ya kutoka Dar hadi Moshi, Mwanza haikuamshwa hivi juzi juzi, hebu nipe takwimu za mizigo iliobebwa tangu 2013?

Alafu BTW, KR haijawahi kufa, Meter Guage inafanya kazi hadi leo, Kabla SGR kuanza kazi, MGR yetu ilikua inabeba mizigo mingi kuliko hata Tazara!

Hii ni picha imechukuliwa kutoka kwa SGR ikionyesha MGR bado inafanya kazi

View attachment 2168390
mgr ya Kenya ilikufa, acha uongo ,wameanza kuifufua hivi karibuni wadanganye wasiojua.
 
Back
Top Bottom