Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kiswahili tabu sana ongea lugha ya kikoloni tuu kijana usijipe shida bure.
Nyamazisha za ovyo
JamiiForums91954920.jpg
 
Update: electric SGR Dar-Moro 2.5 km viaduct and Dar port link!
 
mgr ya Kenya ilikufa, acha uongo ,wameanza kuifufua hivi karibuni wadanganye wasiojua.
Hihihi pole sana kwa kukujulisha kwamba KR haijawahi kufa miaka 120 tangu ianze kufanya kazi ....... Magadi ni mmojawepo ya madini makubwa yanayouzwa kutoka Kenya.. hayo magadi hayajawahi kukosa kufika bandarini kutoka kajiado hadi Nairobi Hadi Mombasa.. na hadi wa leo bado husafirishwa na reli ya MGR bila kufeli.


reli zilizofufuliwa majuzi ni reli za kwenda sehemu kama Nanyuki hizo ndo zilikua zimekufa zikafufuliwa, nyengine ni ile ya kwenda Malaba/Uganda.
 
Back
Top Bottom