Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tanzania’s SGR set to start operations end of April

Tanzania Standard Gauge Railway.

citizen

By THE CITIZEN
More by this Author

The Tanzania Railways Corporation (TRC) has announced that the Dar es Salaam-Morogoro Phase 1 of the Standard Gauge Railway will start operations at the end of this month.

The whole project is almost complete with the construction of the Morogoro-Dodoma stretch having reached 82.2 percent and set for completion by December 2022, Director-General Masanja Kadogosa said.

The first and the second phase are all under the Turkish contractor Yapı Merkezi.

Mr Kadogosa did not, however, delve into the details regarding the first phase’s operations which is expected to use electric trains.

He spoke at a ceremony to lay the foundation stone for the Mkutopora-Dodoma Phase Three SGR construction that was graced by President Samia Suluhu Hassan.

According to Mr Kadogosa, the government of Tanzania has released Tsh609.6 billion ($261 million) out of the total of Tsh4. 6 trillion ($1.9 billion) for the construction of the 368 km project.

“In March 2021 President Samia Hassan Suluhu promised to finish the construction of SGR…Soon we might sign another contract for the construction of SGR Kigoma-Tabora.”

Huyo zuzu anaongea mawazo yake tuu yuko out of touch na reality unless ni propaganda za kijinga.
Huwa hampendi kuambiwa ukweli. Hata mzungu kutoka Marekani anawaambia ukweli ambao sisi huwa tunawaambia kila siku halafu mnamtukana?
 
nitajie shirika moja lilobinafsishwa kupitia DSE lika-collapse! TBL? TCC? TOL? Simba cement? Twiga cement? CRDB? Nadhani hamuelewi ninachosema! Mimi namaanisha TRC iwe public listed share zake ziuzwe kwa public hiyo nayo ni privatization! Asikwambie mtu mimi kila mwaka nakula commission na najuta kwanini sikununua shares lukuki! TRC ikibaki chini ya serikali siku utakuja uongozi mwingine upigaji utaanza ila shirika likiwa DSE linahakikiwa na very independent agencies! Angalia NICO ilivyokombolewa saahii inafanya vizuri!
Uko sahihi si unaona mtoto wa NBC Bank namaanisha Nmb ilivyofanya vizuri ni kwa sababu ya kujisajili kwenye DSE. maana lazima uwe creative na auditing ya hatari
 
Uko sahihi si unaona mtoto wa NBC Bank namaanisha Nmb ilivyofanya vizuri ni kwa sababu ya kujisajili kwenye DSE. maana lazima uwe creative na auditing ya hatari
watu hawajui haya mambo sijui kwann wanafikiria kampuni ikiwa chini ya serikali itafanya vizuri?
 
VIP mchina kipande cha tano kinaendeleaje taharifa zake atupati na Kuna tetesi kapewa kipande cha tabora kigoma
 
watu hawajui haya mambo sijui kwann wanafikiria kampuni ikiwa chini ya serikali itafanya vizuri?
wanaogopa vitu kama hostile take over..lakini ni vizuri angalau govt ikakbaki na 51 % always na iwekewe kwenye Sheria za nchi...ili Taifa lingine au watu wengne wasiweze kulichukua shirika
 
Uko sahihi si unaona mtoto wa NBC Bank namaanisha Nmb ilivyofanya vizuri ni kwa sababu ya kujisajili kwenye DSE. maana lazima uwe creative na auditing ya hatari
NMB inafanya vizuri kutokana na wafanyakazi wa Serikali na taasisi za Serikali kulipwa kupitia iyo bank....
 
NMB inafanya vizuri kutokana na wafanyakazi wa Serikali na taasisi za Serikali kulipwa kupitia iyo bank....
Ila saahii benki zetu zinafanya zaidi ya hayo nimeskia juzi CRDB inaidhamini Yepi Merkezi kwa zaidi ya $200 mln ukiacha udhamini kwa JNHPP wa around $500 mln kwa Arab contractors and ElSewedy! Sitashangaa wakiingia some sort of agreement na EACOP pia! Those agreements r massive sidhani kama KCB na Equity Bank wamewahi ku-deal na mega projects of that magnitude nachojua mimi KCB na Equity Bank wali-bail out loss making KQ na saahii wanajuta kujiingiza kwenye KQ venture that mints losses like no one's business!

Labda Tony254 aje kutueleza humu!
 
KQ ni investment mbaya kwa banks, hata mimi nakubali. Licha ya hio, benki za Kenya bado zinatengeneza profits nyingi kama wazimu.
 
Back
Top Bottom