Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #15,081
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagame anangoja Uganda na Uganda anangoja KenyaKagame akaunganishe na Burundi kule.
Kutoka isaka to rusumo pale ni hasara tuu
Maana PK reli alikuwa ANAHITAJI tangu siku nyingi sana tangu miaka ya 90.Kagame anangoja Uganda na Uganda anangoja Kenya
Hakuna mtu anangoja SGR ya Kundustan!Kagame anangoja Uganda na Uganda anangoja Kenya
Hakuna mtu anangoja Arema standard ya DanganyikaHakuna mtu anangoja SGR ya Kundustan!
Is Tanzania SGR Arema or hybrid of Arema and something else?Hakuna mtu anangoja Arema standard ya Danganyika
Akirudi nitag plz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Is Tanzania SGR Arema or hybrid of Arema and something else?
AremaIs Tanzania SGR Arema or hybrid of Arema and something else?
kule EACOP huku SGR Kundustan haijui ifanye nn!
😆😆😆 Natamani SGR ingeenda Hadi Kampalakule EACOP huku SGR Kundustan haijui ifanye nn!
Ila Porojo zishakua nyingi sana wadau safari hazianzi?kule EACOP huku SGR Kundustan haijui ifanye nn!
Zitaanza tu, subiri muda wake ufike.Ila Porojo zishakua nyingi sana wadau safari hazianzi?
Muda upi huo?Zitaanza tu, subiri muda wake ufike.
Muda huo huo.Muda upi huo?
Hahahaha,Sisi hatuna mihemko ya ' The first in East Africa' buda chill tu.Ila Porojo zishakua nyingi sana wadau safari hazianzi?