Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wivu utakuua[emoji23]

Atoe neno kwenye hii kitu chenye zaidi ya 25 years [emoji23]

IMG_6774.jpg
 
Tukileta zetu za commuter mlituita wasee wa mtumba, leo hii mnacelebrate hiyo hiyo mitumba. Hypocrisy itawaua.
Is ur DMU special? How many countries around Africa r having that kind of Mtumba? Wacha ujinga mzee! we r talking of refurbished electrical double decker wagons! The only ones in the whole of Africa! Fool Have a respect!! We r not ur peer!
 
Tatizo lenu nyie huwa hamna plan, huwa mnakurupukia miradi just because ku catch up with Tz, matokeo yake mnakuwa na vimiradi visivyoeleweka.
 
Is ur DMU special? How many countries around Africa r having that kind of Mtumba? Wacha ujinga mzee! we r talking of refurbished electrical double decker wagons! The only ones in the whole of Africa! Fool Have a respect!! We r not ur peer!
Mtumba Ni mtumba. Wacha siasa. Mlisema hamwezi nunua mtumba, sahii mnacelebrate mtumba. Wacheni unafiki.
 
Back
Top Bottom