Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
I
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo sio uzalendo bali unazi! Usichanganye mambo maana uzalendo hujali maslahi mapana ya nchi.Huu uzi hawa wakulungwa wa north walikuwa wanajinasibu sana na SGR yao ya karne ya 18 sasa wameona mziki wa kikubwa hapa central corridor ndio akili imewakaa sawa na kuamua kukimbia uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
All along walikuwa wanajua wanatetea upuuzi ila nimependa sana uzalendo wao wa kutetea pride yao hata kwenye mambo ya hovyo kama slums nk.
[emoji106]Huo sio uzalendo bali unazi! Usichanganye mambo maana uzalendo hujali maslahi mapana ya nchi.
Kutokuwa na charging port ni upumbavu, bora hizo screen maana siku hizi tuko busy na simu tu.hayana charging points na meza? Yaani hata display screens zimeng'olewa...! Kuna kitu nitakuja kusema humu maana nishawahi kuzipanda huko zilipotoka kabla ya kuwa phased out! Hii maneno haijawa refurbished yaani imepigwa rangi ikapakiwa kwenye meli !!!
ni screens za matangazo na kuonyesha safari mmefika wapi na vituo vinavyofuata! Pale kwenye nyaya panapaswa kuwepo na kwenye glass pertitions ya cabins!Kutokuwa na charging port ni upumbavu, bora hizo screen maana siku hizi tuko busy na simu tu.
Mama yuko kazini 😂 Ila kwakua ziko 30, na hizi ni sita tuu, ngoja tuone zifuatazo.hayana charging points na meza? Yaani hata display screens zimeng'olewa...! Kuna kitu nitakuja kusema humu maana nishawahi kuzipanda huko zilipotoka kabla ya kuwa phased out! Hii maneno haijawa refurbished yaani imepigwa rangi ikapakiwa kwenye meli !!!
Kwani hao mashakahola wanasemaje kuhusu hizi behewa?
Not impressed!Kwani hao mashakahola wanasemaje kuhusu hizi behewa?
SGR Tz full HVAC. Open windows tumewaachia MGR na ile mtungi ya kaskazini [emoji16]
Hizo screens zitakuwa zimeibiwa bandarini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Not impressed!