MGR ya kenya yaongeza mapato kutoka Milioni sh875 hadi Bilioni 1.2
Similarly, its meter gauge railway (MGR) operations saw an improvement in earnings from Sh875 million to Sh1.2 billion.
Kwa ujumla, Shirika la reli la Kenya limeongeza mapato ya mwaka kutoka Ksh5.7 Billion mwaka wa 2018 ambapo SGR ilianza kutumika hadi Ksh 21.7 Billion mwaka jana. Kiwango kikubwa cha mapato haya kimetoka kwa biashara za SGR.
“During the period, there was significant growth in internally generated revenue, which rose from Ksh 5.7 billion in 2017/18 to 14.5 billion in 2019/20 and 21.7 billion in 2022/2023 majorly attributed to SGR operations,” read the financial report by KRC in part.
-------------------------------------
Mwaka wa 2018 SGR ilibeba 2.93 Million tones,
Mwaka wa 2019 3.6 Million
Mwaka wa 2020 4.42 Million tones,
Mwaka wa 2021 5.4 Million tones
Mwaka wa 2022 6.09 Million tones
Na mwaka jana 2023 SGR imebeba estimated 6.6 Million tones
--------------------
Nilishawai kusema hapo mbeleni, bora tu SGR inaongeza mizigo zaidi kila mwaka, mwishowe itafika kiwango kile kinachofaa.!!!
Kulingana na feasibility study ya SGR iliofanywa kabla SGR ijengwe, SGR ilikua inatarajiwa iwe inabeba mizigo 10 Million tones mwaka wa 2025. Sioni kama tutafikisha hicho kiwango lakini tukifikisha 7.5 - 8 million tones mwaka wa 2025 itakua tumefika 80% ya target ambayo itakua si jambo dogo!!1