Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #15,761
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mwezi wa kuingia lile joko ndio huu jirani atafute pa kufichia suraWiki ijayo LATRA wanakula na nauli
Akina Lewis254 wataenda kuchekea chooni😎na mwezi wa kuingia lile joko ndio huu jirani atafute pa kufichia sura
nasubiri sana hio siku tuwafunge mdomo.Akina Lewis254 wataenda kuchekea chooni😎
we huoni hapo ni Korea KusiniHii Treni wakenya wanaruhusiwa kuja kuishangaa na kupanda free bila nauli !
Wewe nyang'au mbona una wivu hivi; huoni hata aibu kidogo?😁
hataki kuamini ni swala la muda tuu ni huu mwezi maumivu yataongezekaWewe nyang'au mbona una wivu hivi; huoni hata aibu kidogo?😁
imagine 😁😁Mnataka Biriani kwa vijisenti vyenu vya ugali maharage?
Hii ni Mashine ya Tz kule Korea wana test kabla haijapakiwa Kwenye meli kuja Dar , Kama vile Boeing ikinunuliwa wana test USA kabla haijaruka kuja Tz au Ky.we huoni hapo ni Korea KusiniView attachment 2927463
level yenu ni hii
View attachment 2927464
panda mwenyewe. mbuzi
kwani hii huitaki 👇Hii ni Mashine ya Tz kule Korea wana test kabla haijapakiwa Kwenye meli kuja Dar , Kama vile Boeing ikinunuliwa wana test USA kabla haijaruka kuja Tz au Ky.
Hebu leta cockpit ya nginjanginja yenu u-compare na hii!kwani hii huitaki 👇View attachment 2928216
Hii ipo vizuri kuliko treni zote afrika kasoro Morocco .kwani hii huitaki 👇View attachment 2928216