Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #15,781
Hata Morocco za mizigo wanatumia hizo! Nimemwambia alete cockpit tufananishe!Hii ipo vizuri kuliko treni zote afrika kasoro Morocco .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Morocco za mizigo wanatumia hizo! Nimemwambia alete cockpit tufananishe!Hii ipo vizuri kuliko treni zote afrika kasoro Morocco .
What happened to bureti treni?Hata Morocco za mizigo wanatumia hizo! Nimemwambia alete cockpit tufananishe!
Nionyesje bullet train moja ya mizigo duniani!What happened to bureti treni?
Hivi hii Ni train ya Mizigo?🤣Nionyesje bullet train moja ya mizigo duniani!
kwani hii huitaki 👇View attachment 2928216
Kilichonifurahisha ni kwamba nayo wameyafunga kwenye zile karatasi za mikate ili yaonekane mapya wabongo wezi sana aisee mpaka inauzi ..hapo uchelewi kusikia wamelipa hela nyingi sana kwa hiyo chuma chakavu iliyopigwa msasa na rangi...
Naona unaweweseka, ha ha ha😎View attachment 2929127
niokotwe Makutupora 😂😂😂
Unapata tabu ukiwa wapi?😎
ndio hio ni ya kwetu pia kwani shida ipo wapi.kwani hii huitaki 👇View attachment 2928216
So unafikiri tutaiga upumbavu wa SGR YENU?
ukunyani kote Hamna vichwa modern namna hiyo! Kumbuka hivyo vina cockpit digital!The real deal 👇View attachment 2932192