Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kumepambazuka!
FB_IMG_1710344066944.jpg
FB_IMG_1710344078454.jpg
 
Haswa huyu nyang'au anayejiita Lewis254 😎
Mgonjwa Mtumbafu acheni uzala bhana. ni kama umetoka town na gari lako kuenda kijijini, baada ya kuPark, unaona wamama, wazee na vijana wanalizunguka gari hilo huku wanaimba, wengine wanajaribu kuligusa na kutoa vumbi....
Halafu nimeona siasa zenu ni za kizamani sana za kujikombakomba ati 'nani kama mama sa100'. kwani pesa ilotumika kwenye mradi imetoka mfukoni mwake? yani nawaona washamba ajabu
 
Upuuzi mtupu.
 
wakati wenzetu wakishangaashangaa glasi ya maji juu ya meza, hapa ndipo tulipofikia, and still counting 👇
GI8KDgGW8AAtYdr.jpeg
 
Back
Top Bottom