Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #16,541
Kwahiyo ya Malaba GOk imetenga budget?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ya Malaba GOk imetenga budget?
Key word "Modern Railway " 😁Thank you Uganda 😊
View attachment 2995451
kule ni kushangilia committment ya mchina kwenye majadiliano ya kupewa mkopo!Huku Kazi inapigwa Kenya endeleeni na siasa
kazi gani mnafanya miaka kumi bado mko hapo hapo tuHuku Kazi inapigwa Kenya endeleeni na siasa
what's it about it?Key word "Modern Railway " 😁
mwaka wa ngapi mnaomba mkopo kwa Mchina?kazi gani mnafanya miaka kumi bado mko hapo hapo tu
Continuous welded Electric powered 🤣🤣🤣🤣what's it about it?
Kwani kuna shida?
reli tunawapelekea Waganda, Warundi, Wacongo na Wasudani Kusini ikiwa electrified. hilo liko wazi hata wao wanajua na ndio kwa maana hawakusita kutia sahihi namna hii 👇Continuous welded Electric powered 🤣🤣🤣🤣
More than a decade ago walisaini hivihivi. Kelele za chura hazimsumbui Tembo kunywa maji 🤣🤣🤣reli tunawapelekea Waganda, Warundi, Wacongo na Wasudani Kusini ikiwa electrified. hilo liko wazi hata wao wanajua na ndio kwa maana hawakusita kutia sahihi namna hii 👇
View attachment 2997226
ndio Uganda walizingua, then came COVID-19. 3-4yrs the world (excluding Tanzania) was held hostage by Corona. sasa sikiliza mapigo.... 🔨🔨👇More than a decade ago walisaini hivihivi. Kelele za chura hazimsumbui Tembo kunywa maji 🤣🤣🤣
chinese Bank wame-offer chance kuskiliza ombi la mkopo la Wakunya imekuwa tatizo humu ndani! Wanasahau Waziri wao huyohuyo wa Transport ali-promise kumalizika tatizo la umeme JKIA 4 times na saahii JKIA iko kwa giza!More than a decade ago walisaini hivihivi. Kelele za chura hazimsumbui Tembo kunywa maji 🤣🤣🤣