Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #16,701
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona siku hizi huweki vijihabari vya kutunga vya yule kaka yako anayejiita Mdude?😎😂😂😂 mbwembwe tu hizo.... hazimzuii ndovu kunywa maji
AfDB wamewakata ngebe!Mbona siku hizi huweki vijihabari vya kutunga vya yule kaka yako anayejiita Mdude?😎
unafaa kujitafakari sana. hebu cheki hapa %age of ppl with access to electricity 👇Mbona siku hizi huweki vijihabari vya kutunga vya yule kaka yako anayejiita Mdude?😎
mbona kitambo mkuu.... 👇wakipewa madini na bandari wao hawaiwahusuu yani kwa mpaka sasa hatukopeshekii walahiii bado kwend a kukopa kenya tu
hakuna Benki ya Ukunyani inaweza lend kiasi hicho! Mbona isi-lend serikali ya Ruto kujenga SGR to Malaba?mbona kitambo mkuu.... 👇
View attachment 3008448
Umeishiwa wewe nyang’au🙂unafaa kujitafakari sana. hebu cheki hapa %age of ppl with access to electricity 👇
View attachment 3008427
![]()