Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Still umeme unawakatikia kila mara huko kwenu.
Upo tayari tuhamie mjadala wa pili!?
Mjadala wa high cost of living.
kama vile unavyokatika ovyo kwenye bureti treni??? unataka kupewa kichapo kingine? mm sikumbuki ni mwaka gani umeme umewahi kukatika nyumbani kwangu. miaka ya kuishi na majenereta on standby kama nyinyi huku yalipita miaka ya 90's. nyinyi ni bure kabisa
 
Tanzania itaivuka kenya by 2030
wacha kuota ndoto za mchana ww. itaipita kwa kuwa Kenya hakuna activities zozote zinazoendelea ama?
hadi siku unaenda kuzikwa, hakuna hata siku moja Tanzania itawai kuwa juu ya Kenya.
 
😁😁😁
GVbXsEBWkAALqR0.jpeg
 
kama vile unavyokatika ovyo kwenye bureti treni??? unataka kupewa kichapo kingine? mm sikumbuki ni mwaka gani umeme umewahi kukatika nyumbani kwangu. miaka ya kuishi na majenereta on standby kama nyinyi huku yalipita miaka ya 90's. nyinyi ni bure kabisa
Tulete taarifa hapa ya ukatikaji umeme!?
 
oya, hakuna blackouts, wala power rationing Kenya... kama hutaki kukubali basi lia kabisa 😂😂😂.
tangu serikali hii iingie madarakani, kumekuwa na national blackouts tatu ama nne hivi kama sijasahau, tofauti na serikali iliyopita, na naweza kukuambia, Kplc and GoK had it really rough!
Kenya power kabla kukata umeme, ni lazma watoe taarifa kwamba Area flani wanafanya marekebisho 'scheduled maintenance', siku flani. kwahio unafaa kujipanga kuanzia saa flani hadi flani, hakutakua na umeme na it's only a few hours, once or twice a year.
 
Hali ni mbaya sana ndugu zanguni.... tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu.
GVgf_zaX0AACidL.jpeg

GVgf_zcWMAANJk2.jpeg
 
oya, hakuna blackouts, wala power rationing Kenya... kama hutaki kukubali basi lia kabisa 😂😂😂.
tangu serikali hii iingie madarakani, kumekuwa na national blackouts tatu ama nne hivi kama sijasahau, tofauti na serikali iliyopita, na naweza kukuambia, Kplc and GoK had it really rough!
Kenya power kabla kukata umeme, ni lazma watoe taarifa kwamba Area flani wanafanya marekebisho 'scheduled maintenance', siku flani. kwahio unafaa kujipanga kuanzia saa flani hadi flani, hakutakua na umeme na it's only a few hours, once or twice a year.
Tuje mjadala wa pili high cost of living.
 
kuna uzi unaotrend kwenye hili jukwaa that deals with matters everything... 👇
IMG_20240822_114754.jpg

nenda huko, kuna vijana wako tayari kukupa za uso.
hapa tunadeal na 97% engineering related works na 3% light moments.
usitake kututoa kwenye reli.
 
Tuje mjadala wa pili high cost of living.
muko cheap sana. huwezi compare middle income country na ldc country 😁😁 cheki 👇

Otile: I would be living in a palace in Tanzania with the rent I pay in Kenya​

07 MARCH 2024
• Despite saying it casually without seeming to belittle his colleagues, some music industry stakeholders from Tanzania felt that the artist was mocking his fellow artists.

Otile Brown
Image: Instagram
Artist Otile Brown continues to make headlines inside and outside Kenya following a series of interviews in various media outlets.
His recent interview with content creator Oga Obinna on his YouTube channel has stirred mixed emotions, among fellow artists from neighbouring Tanzania.
The artist claimed that with the money he earns in Kenya if he goes to Tanzania, he would live like a prince in a grand palace.
Brown stated that the amount he pays for rent in the house he lives in Kenya, if he takes that amount and rents a house in Tanzania, he would get a magnificent mansion similar to a royal palace.
"The amount I pay for rent here in Kenya, that rent money, if I were in Tanzania, I would be living in a palace," the artist said as Obinna asked him if housing availability in Tanzania is affordable.
Despite saying it casually without seeming to belittle his colleagues, some music industry stakeholders from Tanzania felt that the artist was mocking his fellow artists.
Previously, Otile made headlines in the same interview after claiming that no artist from the entire East African region has reached international standards.
Otile said not even Diamond has reached those standards despite being considered the artist who has lifted East Africa the most internationally.
It is worth noting that this is not the first time Otile has provoked his colleagues from Tanzania. Some time ago, Otile mocked the chains of artists Diamond and Mbosso, which they claimed were expensive gold, saying they were just fake jewelry.
na mukiambiwa, munakasirika.
 
Kipya kinyemi ingawa ni kidonda!

SGR naifananisha na bar mpya inapofunguliwa inapata wateja kibao baadae inakuwa kawaida sana

Serikali imeshindwa kuendesha mabasi ya mwendokasi Dar es salaam unafikiri watawezaa SGR?

Ndege za ATC zipo wapi? Jiulize.
😂😂😂
 
kuna uzi unaotrend kwenye hili jukwaa that deals with matters everything... 👇
View attachment 3076180
nenda huko, kuna vijana wako tayari kukupa za uso.
hapa tunadeal na 97% engineering related works na 3% light moments.
usitake kututoa kwenye reli.
Kwenye huo uzi wenzako wote wamesalimu amri.
Nataka wewe usalimu amri sasa.
Maana umesema twaweza jadili lolote.Ama unaipinga kauli yako sasa!?
 
muko cheap sana. huwezi compare middle income country na ldc country 😁😁 cheki 👇

Otile: I would be living in a palace in Tanzania with the rent I pay in Kenya​

07 MARCH 2024
• Despite saying it casually without seeming to belittle his colleagues, some music industry stakeholders from Tanzania felt that the artist was mocking his fellow artists.

Otile Brown
Image: Instagram
Artist Otile Brown continues to make headlines inside and outside Kenya following a series of interviews in various media outlets.
His recent interview with content creator Oga Obinna on his YouTube channel has stirred mixed emotions, among fellow artists from neighbouring Tanzania.
The artist claimed that with the money he earns in Kenya if he goes to Tanzania, he would live like a prince in a grand palace.
Brown stated that the amount he pays for rent in the house he lives in Kenya, if he takes that amount and rents a house in Tanzania, he would get a magnificent mansion similar to a royal palace.
"The amount I pay for rent here in Kenya, that rent money, if I were in Tanzania, I would be living in a palace," the artist said as Obinna asked him if housing availability in Tanzania is affordable.
Despite saying it casually without seeming to belittle his colleagues, some music industry stakeholders from Tanzania felt that the artist was mocking his fellow artists.
Previously, Otile made headlines in the same interview after claiming that no artist from the entire East African region has reached international standards.
Otile said not even Diamond has reached those standards despite being considered the artist who has lifted East Africa the most internationally.
It is worth noting that this is not the first time Otile has provoked his colleagues from Tanzania. Some time ago, Otile mocked the chains of artists Diamond and Mbosso, which they claimed were expensive gold, saying they were just fake jewelry.
na mukiambia, munakasirika.
Ona huyu kuku anaongea nini😂😂😂😂😂.
Diamond na Otile nani ana pesa kuliko mwenzake!??
Diamond ana pesa mara elfu ya Otile brown.
Kenya hakuna cha mid income.
Kenya mna gharama kubwa za maisha ambazo haziendani na pato lenu la kila siku.
Ila Tanzania tuna gharama ndogo ya maisha,kujenga bei rahisi,kuvaa bei rahisi,kununua gari bei rahisi na kula ndio bei rahisi kabisaaa.
Hii inaonesha Tanzania ni nchi ilojikwamua kimaisha katika maendeleo ya kijamii.
Ndio maana kwenu raia wanaandamana hadi mkate
 
Kwenye huo uzi wenzako wote wamesalimu amri.
Nataka wewe usalimu amri sasa.
Maana umesema twaweza jadili lolote.Ama unaipinga kauli yako sasa!?
itakua ulitoroka ww, you will never win any argument with a Kenyan online. nlikwambia uchague topic moja tuijadili humu, sikutaka u-derail the thread maana huku ukiachiwa nafasi, utaanza kuposti madanguro humu!!! 🤣🤣🤣.
your comprehension skills is wanting.
kama ww sio engineer, pita kushoto ama uende kwenye jukwaa linalokufaa kama hili 👇
Mahusiano, mapenzi, urafiki
 
Unarukaruka kama maharage.
Kama wewe ulivyoshindwa kwenye ishu ya food security ndivyo wenzako walivyoshindwa kwenye ishu ya higher cost of living in Kenya.
Na wewe ni walewale.
Ngojea nikuache.
 
Ngojea nikuache
kimbia... kama kawaida yako, usitatize watu.
umeshindwa kwenye food security, access and reliability of electricity, sasa unataka ucharazwe kwenye cost of living.
you have many more poor people in your country, you live on less than a dollar a day, kunywa maziwa kwenu ni luxury, alafu unataka kushindana na Mkenya? 😁😁 what a joke!
 
Back
Top Bottom