Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

bad news today. happened at Kazuramimba, Kigoma.
f26f2849-cd9d-40d6-a9c6-04a49ead0a10.jpg
 
'Sisi' ni ww na nani?
tuma hapa picha ya hio Tanzania Sgr Freight Locomotive nataka kuiona.
wacha vituko.
Kumbe we ni kilaza
Juzi EAC Secretary General mkenya kaomba po anasema EAC tusishindane humu ndani bali tushirikiane.
Kila nchi inafanya jitihada za kuboresha mazingira ya biashara sasa kwa mtazamo wake na wa wakunya wengi wao wanaona kama competition yaani ukishagusa kwenye maslahi yao wao tayari ni competition 🤣🤣🤣🤣
Mpaka Sasa washachemka kwenye sgr Yao.
Mpaka Leo hii Bado wanatafuta mkopo wa kuifikisha Malaba wakati ya Tanzania Iko inaelkea ukingoni na tayari Afdb wanameshakubali kudhamini ujenzi wa awamu ya sita ya Burundi -Uvinza
 
kilaza ww. mpaka sasa bado sikuelewi rada yako gani humu lakini bado umo umo tu umeshupalia shingo
 
Tujikumbushe kidogo... katika moja ya ajali mbaya zaidi kuwahi kutokea kwenye taifa hili 👇👇👇
IMG_20240828_221343.jpg
 
muko cheap sana. huwezi compare middle income country na ldc country 😁😁 cheki 👇

Otile: I would be living in a palace in Tanzania with the rent I pay in Kenya​

07 MARCH 2024
• Despite saying it casually without seeming to belittle his colleagues, some music industry stakeholders from Tanzania felt that the artist was mocking his fellow artists.

Otile Brown
Image: Instagram
Artist Otile Brown continues to make headlines inside and outside Kenya following a series of interviews in various media outlets.
His recent interview with content creator Oga Obinna on his YouTube channel has stirred mixed emotions, among fellow artists from neighbouring Tanzania.
The artist claimed that with the money he earns in Kenya if he goes to Tanzania, he would live like a prince in a grand palace.
Brown stated that the amount he pays for rent in the house he lives in Kenya, if he takes that amount and rents a house in Tanzania, he would get a magnificent mansion similar to a royal palace.
"The amount I pay for rent here in Kenya, that rent money, if I were in Tanzania, I would be living in a palace," the artist said as Obinna asked him if housing availability in Tanzania is affordable.
Despite saying it casually without seeming to belittle his colleagues, some music industry stakeholders from Tanzania felt that the artist was mocking his fellow artists.
Previously, Otile made headlines in the same interview after claiming that no artist from the entire East African region has reached international standards.
Otile said not even Diamond has reached those standards despite being considered the artist who has lifted East Africa the most internationally.
It is worth noting that this is not the first time Otile has provoked his colleagues from Tanzania. Some time ago, Otile mocked the chains of artists Diamond and Mbosso, which they claimed were expensive gold, saying they were just fake jewelry.
na mukiambiwa, munakasirika.
Huyu mtoto Otilie ana mambo ya kifala sana ile kipindi kaja bongo, analalamika kaibiwa laptop airport kumbe ni ushamba wake wa T3 bize na kupiga picha mpk akaacha laptop kwenye parking lot anakuja kuonyeshwa footage za CCTV namna alivyotelekeza laptop yake uso ulimshuka shuu. Matrako yake.
 
Halafu hana hata pesa huyo,hana lolote majigambo mengi akaunt ya pesa sifuri.
 
Huyu mtoto Otilie ana mambo ya kifala sana ile kipindi kaja bongo, analalamika kaibiwa laptop airport kumbe ni ushamba wake wa T3 bize na kupiga picha mpk akaacha laptop kwenye parking lot anakuja kuonyeshwa footage za CCTV namna alivyotelekeza laptop yake uso ulimshuka shuu. Matrako yake.
Mambo ya purchasing power ya currency hayo somo hili huwa gumu sana kwa wakenya.
Purchasing power in Tz ni kubwa kuliko Kenya.
 
Back
Top Bottom