Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli! 😂😂😂
Wakenya wamebaki kujifariji tu.Kwa kweli! 😂😂😂
Hivi kwenu wanaruhusu kuingia na maji , maana huku wanakataza coz ya usalama.
usitake kuanzisha vita hautavimaliza 😁😁Kwa kweli! 😂😂😂
Mkuu, hakuna cha usalama wowote hapo... ni upigaji tu.....Hivi kwenu wanaruhusu kuingia na maji , maana huku wanakataza coz ya usalama.
Endeleeni kujifariji.wacha kuviziavizia ww 😂😂😂
View attachment 3105789
🤭Reli imeshapita Mwanza kitambo na sasa huko Mwanza ni majaribio ya kupitisha train yameshaanza kitambo
White Elephant 🤭😁😁Mwanza - isaka 320 + kms ( more than 51% completed )
Makutopora - Tabora
250 + kms ( more than 67% completed )
Acha unyankuzi we nguruwewatakuambia ujenzi lot x umefikia 80% 😂😂😂
View attachment 3106614
View attachment 3106615
Kwanini ujenzi wa SGR hapa Mwanza umesimama?
Katika miezi ya nyuma ujenzi wa SGR uliendelea kwa kasi kubwa hapa Mwanza lakini kwa siku za karibuni ujenzi huu umesimama hatujui sababu ni nini. Ni vema ujenzi huu ukaanza tena ili na sisi watu wa Mwanza kwa miaka michache ijayo tupate huduma ya treni ya mwendo kasi.www.jamiiforums.com
wachana na picha za zamani. hebu cheki 👇👇👇View attachment 3107168
Ujenzi umesimama ety we ni tako tu watu tunaishi Mwanza uku kila siku tunapita kwenye mradi alaf unatwambia udaga we kichwa maji kabisa
no safety at all inside the train. begi moja limeanguka na nayaona mengine upande mwengine yako karibu kumwaika.Hivi kweli Serikali inanunua mabehewa mapya ya MGR wakati relief yenyewe ni mbovu.
Ona treni
View attachment 3109389
Sasa reli mbovu , Yani ukiona mabehewa ya MGR hata Yale yaliyonunuliwa mwaka jana yashachakaa.
Ni vyema hii reli wakaijenga upya