Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
πππVyoo navyo vya sgr gentleman waambie wavifanyie usafi nk π
Hivi kwanini wabongo tunashindwa kuweka vyoo vyetu safi π
Ova
ustaarabu ni Zero.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππVyoo navyo vya sgr gentleman waambie wavifanyie usafi nk π
Hivi kwanini wabongo tunashindwa kuweka vyoo vyetu safi π
Ova
Wengine vyoo vyetu unaweza hata ukala chakula ukiwa ndaniπππ
ustaarabu ni Zero.
Temporary bridge upande wa pili kuna permanent structure! Hizo culverts ni Maalum kwa ajili ya sehemu iliyokatika kwa Mvua!
kipi cha kutisha hapo? focus kijana, huyo mshangazi hapo asikudatishe.Picha la kutishaπ
zaidi ya Emirates bro.... πππAisee humo ndani unyama ni mwingi kama Emirates
stop being salty.Upo nje ya wakati hayo mabehewa yameletrwa majuzi tu sgr yao siyo kari reli aijachomew yote ni nginja nginja train ...hayo mebehewa yasikuchanganye akili
Hilo.ni behewa la treni muda wowote unaweza kununua utakavyo ..hayo mabehewa ya vip kenya yamekuja majuzi tu na bei yake ni sawa na kupanda ndege sisi hatujaleta daraja ja juu ya mabehewa tunayo economic na business class tu siyo VIP.tatizo reli yenu aikuchomewa yote ..kelele za nginja nginja ni kubwa haswastop being salty.
kubali tu kwamba umepigwa na kitu kizito, then we move forward.
vipi ile mitumba yenu ya double-decker kutoka Ujerumani itawasili lini?Hilo.ni behewa la treni muda wowote unaweza kununua utakavyo ..hayo mabehewa ya vip kenya yamekuja majuzi tu na bei yake ni sawa na kupanda ndege sisi hatujaleta daraja ja juu ya mabehewa tunayo economic na business class tu siyo VIP.tatizo reli yenu aikuchomewa yote ..kelele za nginja nginja ni kubwa haswa