Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sema itafanya kazi lini tayari ipo nchini..tz tuna aina zote za train bado vip tu
sasa ziko nchini na hazifanyi kazi si bora muziregeshe tu maana zitakua zina hitilafu.
imagine sasa zinaliwa na mchwa na huku zinapigwa na kutu... hasara juu ya hasara
 
Rekebisheni reli yenu japo kwa kuchomea mataluma ...sisi hapa tz kipindi cha mzalendo JPM tulichomea mataluma hadi ya reli ya MGR kwa sasa nayo yote imechomewa kupunguza nginja nginja
 
GNr5kuGbAAAclUb.jpeg

GNr5kuHbAAAOW1M.jpeg

GNwWRx7bAAAz8_t.jpeg
 
Rekebisheni reli yenu japo kwa kuchomea mataluma ...sisi hapa tz kipindi cha mzalendo JPMtulichomea mataluma hadi ya reli ya MGR kwa sasa nayo yote imechomewa kupunguza nginja nginja
we boya kweli. hivi unapata wapi ujasiri wa kulingasha Chinese Class 1 Standard Railway na AREMA.
tumia akili basi
 
vipi ile mitumba yenu ya double-decker kutoka Ujerumani itawasili lini?
Sincerely, tuoneshe treni yenu yoyote mpya mlio nunua? Zenu sio tu ni mitumba but also ni mikangafu! 😂 😂 Zile zinapigwa machakoni (Ukarabati) ya nguvu sana kabla ya kuwasili. Ziko pieces 30, zinashuka mida sio mirefu.
 
Rekebisheni reli yenu japo kwa kuchomea mataluma ...sisi hapa tz kipindi cha mzalendo JPMtulichomea mataluma hadi ya reli ya MGR kwa sasa nayo yote imechomewa kupunguza nginja nginja
tumia akili sometimes....
nahofia sana usalama wa maisha yangu kwenye reli cheap namna hii 👇
20240621_155727.jpg

IMG_20240623_150819-1.jpg

treni inaweza ika-derail mda wowote.
halafu hio ni sample tu, the whole network looks that way hadi serikali ikapiga marufuku kupiga picha.
 
Sincerely, tuoneshe treni yenu yoyote mpya mlio nunua? Zenu sio tu ni mitumba but also ni mikangafu! 😂 😂 Zile zinapigwa machakoni (Ukarabati) ya nguvu sana kabla ya kuwasili. Ziko pieces 30, zinashuka mida sio mirefu.
cheki hapa 👇 😁😁

wenzako wamekiri kua hawajaona unyama namna hio tokea dunia iumbwe.
 
we boya kweli. hivi unapata wapi ujasiri wa kulingasha Chinese Class 1 Standard Railway na AREMA.
tumia akili basi
Kwanza wakunya ammiliki hata mita moja ya SGR hiyo mnayo tumia ni mali halali ya mchina hivyo watz tumemshina mchina kwenye hiyo sgr tanzania vs china sgr in kenya ...tz win
 
K

Wanza wakunya ammiliki hata mita moja ya SGR hiyo mnayo tumia ni mali halali ya mchina hivyo watz tumemshina mchina kwenye hiyo sgr tanzania vs china sgr in kenya ...tz win
😂😂😂 wacha nicheke tu maana siamini kama huyu ni yule Lwiva nilikua namjua miaka mitano iliopita.
 
Pole sana huo ni ukweli nikama ile njia ya juu ya kulipia hapo nairobi ni mali ya wenyewe siyo ya wakenya ...sisi SGR yetu ni mali halali ya watz tunaitumia tutakavyo...ndiyo maana hamna amri ya kusema reli yenu ichomewe mataruma yake kuondoa nginja nginja ni hadi mchina apende mwenyewe ...bei ya treni ni mchina ana hamua yeye ...hivyo ni tanzania sgr vs china sgr in kenya
 
😂😂😂 so funny... boya kama coodip1.
hebu cheki hichi kisa cha kuhuzunisha hapa 👇
IMG_20241020_173519.jpg
 
Back
Top Bottom