Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wakuu... habarini za asubuhi.
Ni matumaini yangu muko njema.
Hapa liko swala nyeti.... 👇
IMG_20241109_080041.jpg
 
Na joto lote hilo humo ndani 🤣🤣🤣🤣🤣
Aki wakenya mmelogwa na vitu cosmetic sana ali mradi vitu vyenu vifanane na level za juu wakati mazingira na uwezo hamna. Imagine that sitting arrangement without AC on a bumpy rail halafu mnalinganisha na seating arrangement ya Airbus 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom