Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Dining hall ni majilisi pumbavu wewe mnaharibu kiswahili
nitawafunza hadi Kiswahili.
IMG_20241111_063659.jpg

FB_IMG_1728674040434.jpg

images-12.jpeg
 
Na joto lote hilo humo ndani 🤣🤣🤣🤣🤣
Aki wakenya mmelogwa na vitu cosmetic sana ali mradi vitu vyenu vifanane na level za juu wakati mazingira na uwezo hamna. Imagine that sitting arrangement without AC on a bumpy rail halafu mnalinganisha na seating arrangement ya Airbus 🤣🤣🤣🤣
Kumbe nginjanginja Halina HAVC System! 😂😂😂😂! Naona madirisha ya kufungua!
 
kwaivo dirisha likiwa linafunguka, ina maana hakuna A.C ??? yaani hawa jamaa ni washamba sana 😁😁😁
IMG_20241111_104530.jpg
 
Aawapii HAVC System inaonekana!
hamuna ustaarabu. A.C kama iko on, inafaa madirisha yawe yamefungwa. sasa nyinyi bado mko nyuma sana, unakuta mtu anatafuna miwa ndani ya treni na analazimisha kutema nje.
sasa hebu niambie kwanini Trc wasibane madirisha na super glue?
ndio maana mkabaniwa kuingia na chakula humo ndani sababu ingekua vurugu! 😁😁😁
 
hamuna ustaarabu. A.C kama iko on, inafaa madirisha yawe yamefungwa. sasa nyinyi bado mko nyuma sana, unakuta mtu anatafuna miwa ndani ya treni na analazimisha kutema nje.
sasa hebu niambie kwanini Trc wasibane madirisha na super glue?
ndio maana mkabaniwa kuingia na chakula humo ndani sababu ya vurugu! 😁😁😁
Kuna watu wachafu kama Wakunya?

View: https://youtu.be/CqcdMu_7tdo?si=XLCYENG_HsTisXiM
 
Back
Top Bottom