REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 2,293
- 8,231
Miezi sabini na mbili??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Terrain ya Burundi ipo rough mzee! Na labda ukitaka haraka gharama inazidi!Miezi sabini na mbili??
One man army kamanda Lewis upo? Wenzako wote wamekuacha AWOL umebaki peke yako 🤣🤣🤣🤣
Me nakubaliana na mpina asilimia mia na me sio mnafiki kwenye ukweli tuseme ukweli kabisa bila kupindisha ili kuikoa inchi yetu TZ
Hakuna lot yoyote inayoendelea mpaka sasa ila hapa tunafurahishana ili tuonekane washindi ila kiukweli hakuna lot 3,4,5 mpaka iyo 6 zimesimamaView attachment 3234331View attachment 3234332View attachment 3234334
Kuna muda tuache kaunafiki na kutosema ukweli bayana hii lot 5 inaonekana imesimama.
Tunahitaji maelezo juu ya hili nimepita leo hali ni kama hiyo kweli kwa macho yangu pale sidhan kama kuna ujenzi unaendelea au mkandarasi ajalipwa certificate zake.
Ndio hivyo kamanda hii nchi bwana kuna muda roho inaniuma kwa yanayotendeka watu kama awaoni vile.Hakuna lot yoyote inayoendelea mpaka sasa ila hapa tunafurahishana ili tuonekane washindi ila kiukweli hakuna lot 3,4,5 mpaka iyo 6 zimesimama