Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza mzee, Hapa tunaongelea kuongezeka kwa deni la taifa sio kitu kingine. Hao hao AFDB walitoa mkopo kwa lot ya 3 na 4 lakini mwishowe izo pesa za mradi hatujui zilihamishwa wapi kutumika na mradi umesimama hakuna pesa..kwahiyo kama AfDB wametoa fedha tulizoomba tusipokee na tusianze ujenzi kwa vile phase III, IV n V r not ready? Au unafikiri fedha za SGR Uvinza Msongati zinaweza kuhamishwa na kujengwa vipande vya III, IV na V?
Peleka ujuha reli inajengwa na AfDB haitoi pesa tu bila kuwa na right mechanism to check its use in place!Sikiliza mzee, Hapa tunaongelea kuongezeka kwa deni la taifa sio kitu kingine. Hao hao AFDB walitoa mkopo kwa lot ya 3 na 4 lakini mwishowe izo pesa za mradi hatujui zilihamishwa wapi kutumika na mradi umesimama hakuna pesa..
Ni kipi kinakuaminisha huo mkopo utaenda kutumika panapotakiwa ikiwa pesa za aina hiyo hiyo zilibadilishwa matumizi na hakuna kinachoendelea..?
Hauhisi kama itakua ni njia ile ile iliyotumika kuhamisha pesa za mradi wa lot 3 na 4 na 5 itajirudia hapo tena?
Kaa utambue deni la taifa limeshafika trillion 100 sasa ivi na hapo zaidi ya trillion 7 za lot 3 na 4 hazieleweki zimefanya nini huku tunaona tena wakiangaika kutafuta mkopo tena kwa ajili ya huo huo ujenzi ambao walisha secure loan from afdb..
Sijui kama unawaza hilo au unajali lolote hapo
Unajtahidi kutetea upuuzi..Peleka ujuha reli inajengwa na AfDB haitoi pesa tu bila kuwa na right mechanism to check its use in place!
Last time I checked debt was around 40% GDP!
Endelea na majungu sisi ujenzi unakata mbuga mkishtuka Treni Za umeme zinaenda Mwanza!
DUH mkuu hii ni hatari. mara moja moja hua naingia kwenye ile online ticketing yao naangaliaga njia ya dar - dom naweza kubaliana na hili behewa nyingi hua hazijawa booked. Hapa shida sjui ipo wapi au abiria hakuna? au ndo kama wanavosema wengi wabongo sisi mambo ya kubook haya (planned safaris) hatuna?