Naomba usikurupuke soma vizuri.
Hata hivyo 350Tsh ni sawa na $0.15
Uchumi upi huo wa kwenye makaratasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Uchumi usioweza kufanya chochote hadi mkope,
Uchumi unaotegemea misaada ya chakula,
Uchumi unaokopa deni ili ilipe deni,
Uchumi unaomilikiwa na wachache,
Jikite kwenye mada.
Angalia hizi pic mbili hapaTuletee picha ruto akizindua hyo nyumba.
Huwezi linganisha Kenya na LDC
Umemaliza sidhani kama atarudi tena π€£ π€£ π€£View attachment 1247966
Kwa taarifa yako nchi zote zilizoendelea zinatoza umeme bei ndogo sana, utaona hapo kwenye bili yangu ya mwezi jana KWh ni $0.0221327
Naona Kenya mnaizidi Saudi Arabia. Duh!! noma kweli π€£ π€£ π€£ Huoni hata aibu?View attachment 1247972poor countries have their PPP/Nominal ratio high
Begs the question.............. If TZ electricity is really this cheap, then whats the issue. Mbona bado mko LDC? Cheap electricity, abundant natural resources, perfect climate, expansive coastline etc etc. Tatizo ni nini???Umeme ni kitu cha muhimu sana kwa maendeleo ya nchi. Leo ningepeda tujadili bei za umeme kwa unit (kWh).
Tujadili kwa kina na kisha tueleze kwanini bei zinakuwa hivyo. Hata hivyo, tunatakiwa tujadili kwa undani kabisa chanzo kipi cha umeme kinakuwa cha bei nafuu kuliko kingine.
Basi ninaanza kama ifuatavyo:-
Source of Information:
Country Cost in USD Kenya 23.47Ksh $0.23 Tanzania 100.0Tsh $0.043 Uganda 250.0 Ush $0.067 S. Sudani Rwanda 182 Franc $0.20 Burundi
Kenya
View attachment 1247829
Electricity cost in Kenya
Current and historical information about the cost of electricity in Kenya, for domestic and industrial consumers.stima.regulusweb.com
Tanzania:
View attachment 1247830
Uganda:
View attachment 1247831
Rwanda
View attachment 1247832
Karibuni tujadili sasa.
Ambayo ni sawa tu na ile ambayo huwa tuna charge wanaotumia zaidi ya 75kWH (viwanda)Naomba usikurupuke soma vizuri.
Hata hivyo 350Tsh ni sawa na $0.15
Utashuka zaidi maana hakuna viwanda vya kutumia umeme.Rais Magufuli kasema Nyerere Dam ukiisha umeme utashuka zaidi, Tanzania kutakuwa na smart house kama US.
Hahahahaha ππ.Unatuona wajinga sana. Hio bill sio yako. Ndio maana umerarua karatasi ukaandika jina lako kisha ukafunika jina la kampuni kwa kutumia hio karatasi. Basi ondoa hicho karatasi tuone jina la hilo kampuni. Najua ni kampuni kwa sababu kampuni pekee au tajiri wa kupindukia ndio anaweza tozwa $97 yaani ksh 9,700 kwa mwezi kwa tariff ya $0.02 kwh.View attachment 1247966
Kwa taarifa yako nchi zote zilizoendelea zinatoza umeme bei ndogo sana, utaona hapo kwenye kipande cha bili yangu ya mwezi jana KWh ni $0.0221327
Hio price ni Tax inclusiveMara ya mwisho umeme nilileta screenshot humu unit moja Tanzania ni Tshs 350
Viwanda vingi vikubwa vinatumia natural gasUtashuka zaidi maana hakuna viwanda vya kutumia umeme.
Pamoja na REA levy pia washakata hapoUmeme tanzania inategemea hakuna bei fixed kwa kila mteja hapana viwandani wana price zao, vijijini wana price zao as well mijini wana price zao ila maxium cost ni 357 per unit hapo ni Inclusive Tax
Nchi zote zenye viwanda duniani UMEME upo chini sana, je huko hakuna viwanda?Utashuka zaidi maana hakuna viwanda vya kutumia umeme.
Umeme tanzania inategemea hakuna bei fixed kwa kila mteja hapana viwandani wana price zao, vijijini wana price zao as well mijini wana price zao ila maxium cost ni 357 per unit hapo ni Inclusive Tax
kwa jinsi ulivyouliza, inaonesha hufahamu haya mambo ya dunia ya kwanza, hivyo nakusamehe tuu. Nimeweka karatasi kwasababu ya privacy, sina haja ya kukudanganya.Hahahahaha ππ.Unatuona wajinga sana. Hio bill sio yako.
Ndio maana umerarua karatasi ukaandika jina lako kisha ukafunika jina la kampuni kwa kutumia hio karatasi. Basi ondoa hicho karatasi tuone jina la hilo kampuni.
Dah, sijui nisemeje, ungejua bills za hapa zilivyo wala usingeshangaa... hiyo $97 ni champ change kwa bili ya umeme wakati wa winter. Nyumba hapa zinakuwa na central heating/air system, washer/dryer, stove n.k vitu hivi vinakula sana wattage.Najua ni kampuni kwa sababu kampuni pekee au tajiri wa kupindukia ndio anaweza tozwa $97 yaani ksh 9,700 kwa mwezi kwa tariff ya $0.02 kwh.