Cost of electricity per unit in EAC

Cost of electricity per unit in EAC

Vitu kw ground ni different[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uchumi upi huo wa kwenye makaratasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Uchumi usioweza kufanya chochote hadi mkope,
Uchumi unaotegemea misaada ya chakula,
Uchumi unaokopa deni ili ilipe deni,
Uchumi unaomilikiwa na wachache,
Jikite kwenye mada.
Screenshot_20191027-231334.jpeg
 
Umeme ni kitu cha muhimu sana kwa maendeleo ya nchi. Leo ningepeda tujadili bei za umeme kwa unit (kWh).
Tujadili kwa kina na kisha tueleze kwanini bei zinakuwa hivyo. Hata hivyo, tunatakiwa tujadili kwa undani kabisa chanzo kipi cha umeme kinakuwa cha bei nafuu kuliko kingine.

Basi ninaanza kama ifuatavyo:-
CountryCostin USD
Kenya23.47Ksh$0.23
Tanzania100.0Tsh$0.043
Uganda250.0 Ush$0.067
S. Sudani
Rwanda182 Franc$0.20
Burundi
Source of Information:



Kenya
View attachment 1247829

Tanzania:
View attachment 1247830




Uganda:
View attachment 1247831



Rwanda
View attachment 1247832

Karibuni tujadili sasa.
Begs the question.............. If TZ electricity is really this cheap, then whats the issue. Mbona bado mko LDC? Cheap electricity, abundant natural resources, perfect climate, expansive coastline etc etc. Tatizo ni nini???
 
Naomba usikurupuke soma vizuri.
Hata hivyo 350Tsh ni sawa na $0.15
Ambayo ni sawa tu na ile ambayo huwa tuna charge wanaotumia zaidi ya 75kWH (viwanda)


-------------------------------------------------
according to the new tariffs unveiled by the ERC following a review application by Kenya Power, the cost of electricity for industrial consumers has increased from an average of Ksh14.9 per kWh ($0.14) to Ksh16.15 per kWh ($0.15).
This is a major slap in the face considering manufacturers have been pushing for a cut in the cost of electricity to about Ksh9 ($0.08) per kWh.

Kutoka kwa same article

The tariffs in Kenya are among the highest in the region. The cost of electricity in Ethiopia for example is as low as $0.03 per kWh, Egypt $0.06 and South Africa $0.09.
In Uganda, manufacturers pay $0.10 per kWh while in Tanzania the cost of electricity stands at $0.14 per kWh


CC;

Komora096
 
View attachment 1247966
Kwa taarifa yako nchi zote zilizoendelea zinatoza umeme bei ndogo sana, utaona hapo kwenye kipande cha bili yangu ya mwezi jana KWh ni $0.0221327
Hahahahaha 😁😁.Unatuona wajinga sana. Hio bill sio yako. Ndio maana umerarua karatasi ukaandika jina lako kisha ukafunika jina la kampuni kwa kutumia hio karatasi. Basi ondoa hicho karatasi tuone jina la hilo kampuni. Najua ni kampuni kwa sababu kampuni pekee au tajiri wa kupindukia ndio anaweza tozwa $97 yaani ksh 9,700 kwa mwezi kwa tariff ya $0.02 kwh.
 
Umeme tanzania inategemea hakuna bei fixed kwa kila mteja hapana viwandani wana price zao, vijijini wana price zao as well mijini wana price zao ila maxium cost ni 357 per unit hapo ni Inclusive Tax
 
Umeme tanzania inategemea hakuna bei fixed kwa kila mteja hapana viwandani wana price zao, vijijini wana price zao as well mijini wana price zao ila maxium cost ni 357 per unit hapo ni Inclusive Tax
Pamoja na REA levy pia washakata hapo
 
Kwn kuna nchi tax inakatwa kando
Umeme tanzania inategemea hakuna bei fixed kwa kila mteja hapana viwandani wana price zao, vijijini wana price zao as well mijini wana price zao ila maxium cost ni 357 per unit hapo ni Inclusive Tax
 
Hahahahaha 😁😁.Unatuona wajinga sana. Hio bill sio yako.
Ndio maana umerarua karatasi ukaandika jina lako kisha ukafunika jina la kampuni kwa kutumia hio karatasi. Basi ondoa hicho karatasi tuone jina la hilo kampuni.
kwa jinsi ulivyouliza, inaonesha hufahamu haya mambo ya dunia ya kwanza, hivyo nakusamehe tuu. Nimeweka karatasi kwasababu ya privacy, sina haja ya kukudanganya.

Nchi hii... account za utilities, phone bills n.k zinakuwa zimeunganishwa na SSN, ni unique namba ambayo ina taarifa zako zote. Mtoto akizaliwa tuu hupewa hiyo namba na anakuwa nayo mpaka anakufa. Kwa hiyo, kwa privacy yangu nimeamu kuiziba.
Najua ni kampuni kwa sababu kampuni pekee au tajiri wa kupindukia ndio anaweza tozwa $97 yaani ksh 9,700 kwa mwezi kwa tariff ya $0.02 kwh.
Dah, sijui nisemeje, ungejua bills za hapa zilivyo wala usingeshangaa... hiyo $97 ni champ change kwa bili ya umeme wakati wa winter. Nyumba hapa zinakuwa na central heating/air system, washer/dryer, stove n.k vitu hivi vinakula sana wattage.

Mfano, sasa hivi tupo fall (season) lakini leo asubuhi teyari temperature nje ilikuwa 28F (-2 Celcius) na winter itakapo changanya (Jan - Feb) temp itashuka mpaka -6F (-21 Celsius). Sasa kwa temp hizo unafikiri bill itakuwa kiasi gani au unafikiri tunatumia kuni ku-warm nyumba?
 
Back
Top Bottom