Costantine John Kanyasu one of the smart politician in Tanzania

Costantine John Kanyasu one of the smart politician in Tanzania

APA CHICAGO

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
259
Reaction score
292
Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu.

Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu.
 
Mkuu yeddy guyy kuona kuwa matukio ya ujambazi kwa kutumia silaha za kivita kama vile benk kuvamiwa, Mabasi kutekwa etc hadi nipate Uteuzi???
Hapana ni jambo jema tu mkuu kujua umepata uteuzi au bado.
 
Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu.

Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu.
Huyu jamaa elimu yake kapatia pale pizzeria na salmacone
 
"...one of the smart politician"? Ungeandika tu kwa Kiswahili mkuu.
 
Back
Top Bottom