Mzee ES au mtu mwingine mwenye habari, Juzi nilikutana na mtoto wa Jaka Mwambi, akaniambia, pamoja na mambo mengine mengi, kuwa JK ameoa mke wa pili rasmi ila kwa harusi ya siri ambaye waandishi wa habari walizuiwa kuandika. Kuna ukweli wowote katika habari hii? Aliniambia pia kuwa huyu mke aliyemuoa ndo alikuwa amfanya first lady ila Kingunge akamkemea!
Haya mengine yanayojitokeza, watu wengi katika forum hii na BCS waliyatabiri. Kwamba kwa jinsi Kikwete alivyoingia katika urais ingekuwa ngumu sana kujitenga na ufisadi. Hana ujanja yupoyupo katikati ya wafirauni yeye akiwa kiranja wao. Mbaya zaidi inaona urais kwake ilikuwa ni lengo na wala sio njia ya kutatua matatizo lukuki ya nchi hii. Tutatona mengi!