COTECNA na TISCAN: IPTL nyingine?

COTECNA na TISCAN: IPTL nyingine?

Mzee ES, Mzeeshughuli Bwana,
Good time to you!
Kwakweli mnavyoelezea hayo maisha ya ndani ya hawa viogozi wetu, ndo hali halisi. Watakaopinga na wakatae, Lakini Vitabu vya meneno ya Mungu vyasema : Ukishindwa kuitunza kaya yako vyema, utawezaje utakapowewa jukumu la kuongoza jamii kubwa? Ni aibu kusikia viongozi kama hao wa juu wa nchi ni Mafuska! sasa kwanini wanajivuga kuwatimua Mcd Manzese? Mbona wenyewe wanakulana?
Hayo mengine ya kiutawala kwakweli, Tz tumekwisha, yaani hapa ni chukua chako mapema tuu!

_____________
"U Can't Change The Nature"
 
Lo mambo hayo!! Conflict of interest! Real fanatism. Wewe ni waziri wa biashara na viwanda, halafu unalishikilia lango la KUU la hizo biashara, je si kweli conflict of Interests?
Sasa Mzee Es hebu niambie, hivi naye yule Dc aliyeenda Korogwe vipi? Samahani nisiwahudhi watu.
 
InterestedObserver,
Usisite kuuliza. Kweli tungependa kujua hawa ma DC wapya
 
FD
Unajua azimio la Zanzibar limevuruga kila kitu. Hakuna conflict of interest. Marekani, ambao ni mabepari wa kutupa wana sheria nzuri sana kuhakikisha kuwa mbunge, waziri, rais, hatatumia nafasi yake kusaidia kampuni au shughuli ya kikazi inayomilikiwa na ndugu zake, yeye mwenyewe au marafiki zake. Ndio maana Dick Cheney alipochaguliwa kuwa VP ilibidi aji-divest kutoka kampuni ya Halibutron. Lakini leo bongo unakuta waziri wa madini ni yule yule wakili aliyeajiriwa na makaburu wa mererani.
 
Waziri mdogo wa nishati, alikuwa wakili wa karibuni makampuni 10 ya makaburu, matano kati yao yakiwa ni ya madini, akiwa ni wakili katika ile IMMA Law Firm, ambayo ilimuwahi mtoto wa JK toka Mlimani na kumuajiri haraka haraka, baada ya kuwakatalia vijana kibao wenye visomo vizito na uwezo zaidi ya huyu bwana mdogo,

Leo shirika lipo na bwana ni waziri mdogo, tena wa madini!, na yeye na hili shirika la sheria wametumia mapesa mengi sana, kuanzia kumsaidia Nchimbi uenyekiti wa UVCCM, na JK mwenyewe kwenye ngoma kubwa,

Hivi ni kweli wananchi tutegemee nini kutoka kwa huyu waziri?
 
Edward Lowassa kaamua kumkomoa Luteni Leipilal Ole Molloimet. walikuwa wakigombea jimbo la Monduli, Molloimet akadai Lowassa ni Muarusha siyo Mmaasai.
 
ES,

Cheki tena source zako vizuri. DC wa korogwe Tanga alikuwa kwenye utangazaji, ofcourse kampuni yake ni pro CCM. Ila hakuwa na kazi yoyote kubwa ya kumsaidia JK au yeyote, yeye mwenyewe alikuwa anagombea ubunge akabwagwa PWAAAA.

DC ni mali ya watu ya PM wa sasa!!! ulizia mtaani maana upo bongo kwanini wameachana/tengana na mumewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Vijana kila kukicha walikuwa wakimwambia jamaa mpirani: oyaa bro vipi? shem noma sana!

Tupo majuu ila nyeti tunazo.

FD
 
v95.jpg

mizigo yote iingiayo bandarini dar huchekiwa na mtambo wa exrei ndani ya gari hii
 
Mzee ES au mtu mwingine mwenye habari, Juzi nilikutana na mtoto wa Jaka Mwambi, akaniambia, pamoja na mambo mengine mengi, kuwa JK ameoa mke wa pili rasmi ila kwa harusi ya siri ambaye waandishi wa habari walizuiwa kuandika. Kuna ukweli wowote katika habari hii? Aliniambia pia kuwa huyu mke aliyemuoa ndo alikuwa amfanya first lady ila Kingunge akamkemea!

Haya mengine yanayojitokeza, watu wengi katika forum hii na BCS waliyatabiri. Kwamba kwa jinsi Kikwete alivyoingia katika urais ingekuwa ngumu sana kujitenga na ufisadi. Hana ujanja yupoyupo katikati ya wafirauni yeye akiwa kiranja wao. Mbaya zaidi inaona urais kwake ilikuwa ni lengo na wala sio njia ya kutatua matatizo lukuki ya nchi hii. Tutatona mengi!
 
Jasusi,

Ni mkimbizi wa kiuchumi (sio siasa)!! ila nikizipata narudi.

Mwanasiasa, umekosea kutoa source ya habari yako!!!!. Dogo namfahamu. Sio vizuri.

Ngoja niulizie source zangu nyingine huko home.

FD
 
mwanasiasa said:
Mzee ES au mtu mwingine mwenye habari, Juzi nilikutana na mtoto wa Jaka Mwambi, akaniambia, pamoja na mambo mengine mengi, kuwa JK ameoa mke wa pili rasmi ila kwa harusi ya siri ambaye waandishi wa habari walizuiwa kuandika. Kuna ukweli wowote katika habari hii? Aliniambia pia kuwa huyu mke aliyemuoa ndo alikuwa amfanya first lady ila Kingunge akamkemea!

Haya mengine yanayojitokeza, watu wengi katika forum hii na BCS waliyatabiri. Kwamba kwa jinsi Kikwete alivyoingia katika urais ingekuwa ngumu sana kujitenga na ufisadi. Hana ujanja yupoyupo katikati ya wafirauni yeye akiwa kiranja wao. Mbaya zaidi inaona urais kwake ilikuwa ni lengo na wala sio njia ya kutatua matatizo lukuki ya nchi hii. Tutatona mengi!

LISEMWALO LIPO, KAMA HALIPO BASI LINAKUJAAA
 
Mwanasiasa,
You got it right, ni kweli kuwa sasa hivi JK ana nyumba mbili na wala sio siri huku bongo kwenye siasa na mtaani,

Mama Salma, sasa ameamua kuwa co-president, nafikiri kuna watu wanamdanganya, lakini hapa lazima nitoe SALUTE! kwa mama Amina Chifupa, kwa kumpa vipande vyake bila uoga wala aibu, kwenye hafla moja hivi karibuni na ikabidi mama Salma akae chini kwa hasira!, ndioeeeh! maana Aminha ndio mtandao mwenyewe na ni mtu wa karibu na mzee JK, sasa mama Salma atasema nini?

Labda huyu Amina ametumwa na mzee, haiwezekani msichana mdogo kama yeye kumuamkia First Lady na kumuwashia kama mtu tu wa kawaida, au Amina ni ndugu na huyu mama mpya? Mbona Mama Salma alinyamaza kimya! Huyu Amina anajiamini nini?
 
We start with how we live; Our Family values! Good governance! What now do we expect? Six month with the second wife, I heard that our second term president had FOUR, may be our holywood star [at the end of his "Tenure as Emperor] will end with four. I thought only Mswati could do that, because he is a King. Sasa naamini ni mila zetu!!
How many priorities do we have in this country/continent?? People are so poor, ------ sorry is too painful!!!!!!!!!!!
-----------
Rave & Rant, it is bornwith
 
ES,

Wakati wa kampeni mama Salma aliwaita wana mtandao wa kike kwake, ilikuwa ni mara ya pili kuwaita, Amina akabwatuka huyu anatuita ita wala hana jipya la kutuambia, anatupotezea muda buree tu hapa. Mama hakujibu kitu.

Nionavyo, mama ana malezi mazuri sana, na ni good wife kwa maoni yangu.

Vinginevyo, mzee naona kaona mama shule ndogo (mwalimu wa primary) kwahiyo kaoa mtu wa kumsaidia mawazo!! ahahahaaaa lakini dini yetu inaruhusu, tatizo letu tupo westernized sana!! Mzee wa awamu ya pili alioa mtoto wa shule, mmesahau??

Anyway sidhani kama inahusiana na utendaji wake wa kazi
 
Katika hii hafla ya karibuni, Amina alimwambia kuwa hayo maneno yake ya siasa akayasemee kule Ikulu, watu wamechoka na siasa zake za kitoto!

Hiyo ya mtandao ilikuwa hafla nyingine labda!
 
Kila mmoja anajua kwamba JK n King Mswati wa Tanzania .Ndiyo jina lake rasmi kwa sisi watumishi wa Serikali na kila mmoja anajua jina hili hata yeye mwenyewe.Ukifika ofisini kwangu hapa mitaa ya kati ukataka kuzungumzia Mzee JK basi sema tu King Mswati wote wanajua hili.

Sasa hili wa AC na kubawatuka kwake pamoja na mimi kukaa vijiweni kila siku baada ya kazi sijawahi kupata habari ya ndoa na maneno ya mipasho .Nina amua kuwa IO yaan Interested Observer hadi mambo yajiri kwa upana wake duh!!! Tuna kazi sana wa TZ
 
Back
Top Bottom