Nani alisema hataweza kumpiga Cotto? Huyu Cotto ni damaged goods tokea avurugwe na Antonio Margarito. Oddmakers wote walikuwa upande wa Pacman kushinda. Sasa hao watu wote waliosema hatoweza kumpiga Cotto ni kina nani hao?
nadhani huko aliko jamaa... ila Cotto leo kachakazwa, alianza na sura ya mtu, raundi ya sita ikawa kama ya nyani, kufika twelve he looked like kitimoto aisee
Tough money!!
hao watu waliokuwa wanampa ushindi cotto nadhani hawakuangalia pambano lake la mwisho.huyu pac man noma na sijui itakuwaje against mayweather nadhani "pretty boy" hawe tayari kuwa "ugly boy" siku hio.huyu pac man anakupiga kama utani anakudonyoa donyoa tu mzee kama Mtm alivyosema mwisho unajiona sura imebadilika.Nilikuwa nafatilia vipi mashabiki wanasema kuhusu hili pambano na nilikuta kwenye forum karibu zote za boxing watu walikuwa wanampa ushindi Cotto...thats why nikasema hivo...Mimi nilikuwa namsupport Pac Man from b4.
ha ha ha mkuu hapa mie mwenye nilikuwa nashangaa hile sura ya cotto inavyobadilika kama utani tu jamaa anavyopiga.tusibiri watangaze tu pambano na mayweather manake hilo pambano sijui tulipe jina gani.nadhani huko aliko jamaa... ila Cotto leo kachakazwa, alianza na sura ya mtu, raundi ya sita ikawa kama ya nyani, kufika twelve he looked like kitimoto aisee
Tough money!!
nadhani huko aliko jamaa... ila Cotto leo kachakazwa, alianza na sura ya mtu, raundi ya sita ikawa kama ya nyani, kufika twelve he looked like kitimoto aisee
Tough money!!
Weye MTM ni taahira kweli kweli, umenifanya nipaliwe na chai na mkate asubuhi hii nikisoma "utumbo" uliouandika hapa! Yaani lile pua liligeuka na kufanana kama la KitiMoto! kwi kwi kwi
Has Pretty boy ever lost a fight? Is there a blueprint to beating him?
Has Pac ever lost a fight?
Nyani,kama hii fight itafanyika(not sure coz we all know Pretty boy is scared of the philipino boy!) niko tayari tu bet hapa hapa jamvini,you put you money on Floyd and mine will be on Pacman and we'll see.
MTM,
Hapa ndipo jamaa aligeuka kuwa KitiMoto! Sijui Rose Perez alikuwa wapi maana ni washikaji wakubwa sana!
Can't wait for Pacquiao vs Mayweather Jr fight in 2010!