Cotto Vs Pacquiao- Nani mbabe?

Cotto Vs Pacquiao- Nani mbabe?

Nani alisema hataweza kumpiga Cotto? Huyu Cotto ni damaged goods tokea avurugwe na Antonio Margarito. Oddmakers wote walikuwa upande wa Pacman kushinda. Sasa hao watu wote waliosema hatoweza kumpiga Cotto ni kina nani hao?

nadhani huko aliko jamaa... ila Cotto leo kachakazwa, alianza na sura ya mtu, raundi ya sita ikawa kama ya nyani, kufika twelve he looked like kitimoto aisee

Tough money!!
 
nadhani huko aliko jamaa... ila Cotto leo kachakazwa, alianza na sura ya mtu, raundi ya sita ikawa kama ya nyani, kufika twelve he looked like kitimoto aisee

Tough money!!

Nilikuwa nafatilia vipi mashabiki wanasema kuhusu hili pambano na nilikuta kwenye forum karibu zote za boxing watu walikuwa wanampa ushindi Cotto...thats why nikasema hivo...Mimi nilikuwa namsupport Pac Man from b4.
 
hao watu waliokuwa wanampa ushindi cotto nadhani hawakuangalia pambano lake la mwisho.huyu pac man noma na sijui itakuwaje against mayweather nadhani "pretty boy" hawe tayari kuwa "ugly boy" siku hio.huyu pac man anakupiga kama utani anakudonyoa donyoa tu mzee kama Mtm alivyosema mwisho unajiona sura imebadilika.
 
nadhani huko aliko jamaa... ila Cotto leo kachakazwa, alianza na sura ya mtu, raundi ya sita ikawa kama ya nyani, kufika twelve he looked like kitimoto aisee

Tough money!!
ha ha ha mkuu hapa mie mwenye nilikuwa nashangaa hile sura ya cotto inavyobadilika kama utani tu jamaa anavyopiga.tusibiri watangaze tu pambano na mayweather manake hilo pambano sijui tulipe jina gani.
 
nadhani huko aliko jamaa... ila Cotto leo kachakazwa, alianza na sura ya mtu, raundi ya sita ikawa kama ya nyani, kufika twelve he looked like kitimoto aisee

Tough money!!

Weye MTM ni taahira kweli kweli, umenifanya nipaliwe na chai na mkate asubuhi hii nikisoma "utumbo" uliouandika hapa! Yaani lile pua liligeuka na kufanana kama la KitiMoto! kwi kwi kwi
 
Weye MTM ni taahira kweli kweli, umenifanya nipaliwe na chai na mkate asubuhi hii nikisoma "utumbo" uliouandika hapa! Yaani lile pua liligeuka na kufanana kama la KitiMoto! kwi kwi kwi

Hahahaaaaaa

Mkuu, sijui nisemeje lakini kama kweli uliangalia pambano, Cotto transformed from human being to a baboon (sixth round) sasa kufika round ya 12 nikaona jamaa pua imeongezeka, lips ndio usiseme na macho hayaeleweki

Niwie radhi mkuu labda niliona kisichoonwa
 
Has Pretty boy ever lost a fight? Is there a blueprint to beating him?
Has Pac ever lost a fight?

Nyani,kama hii fight itafanyika(not sure coz we all know Pretty boy is scared of the philipino boy!) niko tayari tu bet hapa hapa jamvini,you put you money on Floyd and mine will be on Pacman and we'll see.
 
Ok, I put $100.00 on Money Mayweather....

Halafu jibu swali? Has Mayweather ever been defeated? Has he ever been knocked down? Has he ever been hurt in a fight?
 
Manny-Pacquiao-prefight_2384927.jpg

Miguel-Cotto-prefight_2384934.jpg
 
MTM,

Hapa ndipo jamaa aligeuka kuwa KitiMoto! Sijui Rose Perez alikuwa wapi maana ni washikaji wakubwa sana!

Aisee those photos just confirm that boxing is a rude game!!! lakini ndio uanaume huo

.... Kuhusu Peres Sina hakika, ila nilimuona akipewa hug na watoto wawili sijui ni watoto wake au vipi??
 
Wow!
Manny the man of the moment!

Can't wait for Pacquiao vs Mayweather Jr fight in 2010!
 
Can't wait for Pacquiao vs Mayweather Jr fight in 2010!

Naamini hii fight itatangazwa kabla mwaka huu haujaisha, kwenye post fight press conference boss wa HBO-Ross Greenberg alisema kwamba Richard Schaefer alimpigia simu na kumuomba amjuishel Bob Arum kwamba angepokea simu jumatatu (leo) ili kuanza mazungumzo ya mpambano kati ya Manny Pacquiao na Floyd Mayweather Jr.
 
Kwa nyie wote mnaodhani Mayweather atapigwa inaleta maana gani sasa kwa Pacquiao kupigana naye?
 
Wakuu... hamna hata dalili ya pambano la 2010?? Manny vs. Money???
 
Back
Top Bottom