What about the other way round Rutashubanyuma? does this applies to "sugar daddy"
Come to think of it kwanini mwanamke aruhusiwe kumpenda mwanaume mkubwa kiumri lakini si mwanaume kumpenda mwanamke mkubwa? Hapa naongelea mapenzi ya ukweli money aside
Huko sawa Mkuu!.
1.Nitatofautiana na wewe kidogo maana hata vijana kwa vijana siku hizi katika mausiano yao wameweka upendo pembeni na wanangalia kipato.
2.Vijana wa kiume akiona mahitaji ya kijana mwenzie wa kike ni mengi kuliko uwezo wake anatafuta kibibi ambacho chenyewe ama kimevuna sana huko nyuma au kimerithi mali za mmewe na kina shida ya URODA tu.
3.Kukaa mda mrefu bila kuingia katika ndoa huku tukifanya ngono zembe nalo ni tatizo kubwa sana kwa vijana tulio wengi, hivyo hujikuta katika mtengo huu maana wanakuwa hawawezi tena usumbufu wa vibinti vidogo vidogo. Hii hata kwa mabinti inawatokea sana wanaishia kwa vibabu.
Hapa tunasumbuliwa na mila na desturi zetu tu!.
[MENTION]Mmmmmmmmmmh! Kama ni pesa kwani usitafute za kwako?
Hujui upendo wewe,unazungumzia mapenzi,na hata mapenzi yenyewe hayako hivyo!
Dating cougars
9) Wengi kwenye mahusianohaya huambukizana magonjwa ya zinaa kama vila miwaya, kaswsende, kisonono, saratani ya shingo ya uzazi n.k..............
QUOTE]
hapa ndipo hua tatizo kubwa maana kuna jamaa ni mshikaji wa karibu kabisa anatoka na jimama moja hilo jimama hua linachukuliwa na Mbunge mmoja hivi, na hilo jimama limekaa kikahaba kahaba, jamaa na yeyehua ananunuliwa vitu kama Simu,Viatu na kutolewa out ndogo ndogo lakini hana hatimiliki maana mheshimiwa Mbunge akilihitaji hilo jimama yaani jamaa hua anabaki kwenye mataa na anapelekeshwa kama mtoto mdogo
Tofauti ya miaka mingapi tunaongelea for a woman to be called a cougar 2, 3, 4, 10, 20 maybe? Kwangu sitapenda kuwa mama kwa kijana i cant stand naivete.................lakini my concern is for a girl ambaye yuko in love na mwanaume mkubwa will always be labelled a gold digger.Elizabeth Dominic for some reason nature has conspired to protect men to be the vogue of all ages............
Huko sawa Mkuu,Kyaiyembe usisahau duniani tuliumbwa kuwa wawili wawili na kwa shida zaidi ya hapo.............kwahiyo hata huyo mdada anyeangalia pochi pia hujipima mipaka yake na mwishowe hukubaliana na khali ilivyojitokeza........................kwake.............
Dating cougars
9) Wengi kwenye mahusianohaya huambukizana magonjwa ya zinaa kama vila miwaya, kaswsende, kisonono, saratani ya shingo ya uzazi n.k..............
QUOTE]
hapa ndipo hua tatizo kubwa maana kuna jamaa ni mshikaji wa karibu kabisa anatoka na jimama moja hilo jimama hua linachukuliwa na Mbunge mmoja hivi, na hilo jimama limekaa kikahaba kahaba, jamaa na yeyehua ananunuliwa vitu kama Simu,Viatu na kutolewa out ndogo ndogo lakini hana hatimiliki maana mheshimiwa Mbunge akilihitaji hilo jimama yaani jamaa hua anabaki kwenye mataa na anapelekeshwa kama mtoto mdogo
Si umesema hilo jimama linamzidi umri kwa hiyo ni halali yake apelekeshwe kwani yeye ni mtoto mdogo kwa hilo jimama? Lakini inawezekana pia hilo jimama limewekeza kwa mbunge ili lipate pesa za kumnunulia vitu vidogovidogo huyo serengeti boys kwa hiyo inabidi awe mpole tu vinginevyo ajitoe kwenye mahusiano.

inawezekana kabisa jamaa akajitoa kwenye mahusiano kuliko kuendelea kunyanyaswa maana hata yeye anafanya kazi na mimi naona kwa lile jimama hapati chochote kile zaidi ya manyanyaso tu
Mahmetkid tufanyaje kuwasaidia?
Hivi sugar mammy (cougar) ana sugar dady wanaanzia na umri gani?
Rutashubanyuma hili jambo umeliongea na lipo sana
Sio kwamba ni jambo la kuficha ila miongoni mwa vijana limeenea sana
Na kinachotisha ni kuwa wengine wanatembea na wamama ambao ni size ya mama zao wazazi na wala hawaoni ajabu