Cougar=Sugarmummy: Why date her of all the women?

Cougar=Sugarmummy: Why date her of all the women?

umeona eeeh huu mji usipokuwa mjanja utapata limtu utakuwa unalilea hadi chupi unalinunulia...

Smile chupi ukimnumnulia unakuwa umejivika mwenyewe maana wakati huo mnakuwa mmekuwa mwili mmoja.........
 
Last edited by a moderator:
ruta upo baba?? mzima wewe?? ngoja niwe mpitaji leo hapa!

cacico furahia ninakutetea vijana waache kukukwepa na kukimbilia vya dezo vyenye gharama ya kutisha.........
 
Last edited by a moderator:
What about the other way round Rutashubanyuma? does this applies to "sugar daddy"
Come to think of it kwanini mwanamke aruhusiwe kumpenda mwanaume mkubwa kiumri lakini si mwanaume kumpenda mwanamke mkubwa? Hapa naongelea mapenzi ya ukweli money aside

Elizabeth Dominic for some reason nature has conspired to protect men to be the vogue of all ages............
 
Last edited by a moderator:
namba 4, 5 na 7 mpaka 10 sio sababu ni matokeo

dandabo matokeo huwa ndiyo sababu ya kukuvuta kule usikotaka kwenda..............
 
Last edited by a moderator:
Huko sawa Mkuu!.
1.Nitatofautiana na wewe kidogo maana hata vijana kwa vijana siku hizi katika mausiano yao wameweka upendo pembeni na wanangalia kipato.
2.Vijana wa kiume akiona mahitaji ya kijana mwenzie wa kike ni mengi kuliko uwezo wake anatafuta kibibi ambacho chenyewe ama kimevuna sana huko nyuma au kimerithi mali za mmewe na kina shida ya URODA tu.
3.Kukaa mda mrefu bila kuingia katika ndoa huku tukifanya ngono zembe nalo ni tatizo kubwa sana kwa vijana tulio wengi, hivyo hujikuta katika mtengo huu maana wanakuwa hawawezi tena usumbufu wa vibinti vidogo vidogo. Hii hata kwa mabinti inawatokea sana wanaishia kwa vibabu.
Hapa tunasumbuliwa na mila na desturi zetu tu!.

Kyaiyembe usisahau duniani tuliumbwa kuwa wawili wawili na kwa shida zaidi ya hapo.............kwahiyo hata huyo mdada anyeangalia pochi pia hujipima mipaka yake na mwishowe hukubaliana na khali ilivyojitokeza........................kwake.............
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmmh! Kama ni pesa kwani usitafute za kwako?
[MENTION]
ruttashobolwa[/MENTION] uvivu wa kukanyaga umande ndiyo chimbuko la huu ulimbukeni..........
 
Hujui upendo wewe,unazungumzia mapenzi,na hata mapenzi yenyewe hayako hivyo!

Unajua watu hushindwa kutofautisha upendo na kutamani. Kama unauzungumzia upendo wa dhati kabisa aliouweka Mungu, basi tuseme Mungu hawezi na haruhusu kijana kumpenda sugarmumy, ameweka heshima, na staha. Hii ni tamaa tu na mihemko ya mwili tu, au tuite lust Kama aliyokuwa nayo Amnoni mwana wa Daudi kwa dada yake Tamari, yaani Hadi aliugua mpaka kitandani, vile alivo mlala tu dadake, akamchukia kwa machukio makuu, hii ikaleta upanga kwenye familia Yao.
Basi Kama ni upendo basi kuwe na staha kuwa huyu si wa saizi yangu, ngoja nimpende Kama mamangu. Si lazima vyote tuvipendavyo tuwe navyo.
 
Dating cougars

9) Wengi kwenye mahusianohaya huambukizana magonjwa ya zinaa kama vila miwaya, kaswsende, kisonono, saratani ya shingo ya uzazi n.k..............

QUOTE]

hapa ndipo hua tatizo kubwa maana kuna jamaa ni mshikaji wa karibu kabisa anatoka na jimama moja hilo jimama hua linachukuliwa na Mbunge mmoja hivi, na hilo jimama limekaa kikahaba kahaba, jamaa na yeyehua ananunuliwa vitu kama Simu,Viatu na kutolewa out ndogo ndogo lakini hana hatimiliki maana mheshimiwa Mbunge akilihitaji hilo jimama yaani jamaa hua anabaki kwenye mataa na anapelekeshwa kama mtoto mdogo
 
Elizabeth Dominic for some reason nature has conspired to protect men to be the vogue of all ages............
Tofauti ya miaka mingapi tunaongelea for a woman to be called a cougar 2, 3, 4, 10, 20 maybe? Kwangu sitapenda kuwa mama kwa kijana i cant stand naivete.................lakini my concern is for a girl ambaye yuko in love na mwanaume mkubwa will always be labelled a gold digger.
 
Kyaiyembe usisahau duniani tuliumbwa kuwa wawili wawili na kwa shida zaidi ya hapo.............kwahiyo hata huyo mdada anyeangalia pochi pia hujipima mipaka yake na mwishowe hukubaliana na khali ilivyojitokeza........................kwake.............
Huko sawa Mkuu,
Mara nyingi makosa yanakuwa yameishafanyika (hii ni kimtazamo)
Lakini kama huyu binti akiolewa na kibabu kwa malengo ya ndoa inakuwa poa!. na kwa mvulana hivyo hivyo.
Au unasemaje Mkuu.
 
Rutashubanyuma hili jambo umeliongea na lipo sana
Sio kwamba ni jambo la kuficha ila miongoni mwa vijana limeenea sana
Na kinachotisha ni kuwa wengine wanatembea na wamama ambao ni size ya mama zao wazazi na wala hawaoni ajabu
 
Last edited by a moderator:
Dating cougars

9) Wengi kwenye mahusianohaya huambukizana magonjwa ya zinaa kama vila miwaya, kaswsende, kisonono, saratani ya shingo ya uzazi n.k..............

QUOTE]

hapa ndipo hua tatizo kubwa maana kuna jamaa ni mshikaji wa karibu kabisa anatoka na jimama moja hilo jimama hua linachukuliwa na Mbunge mmoja hivi, na hilo jimama limekaa kikahaba kahaba, jamaa na yeyehua ananunuliwa vitu kama Simu,Viatu na kutolewa out ndogo ndogo lakini hana hatimiliki maana mheshimiwa Mbunge akilihitaji hilo jimama yaani jamaa hua anabaki kwenye mataa na anapelekeshwa kama mtoto mdogo

Si umesema hilo jimama linamzidi umri kwa hiyo ni halali yake apelekeshwe kwani yeye ni mtoto mdogo kwa hilo jimama? Lakini inawezekana pia hilo jimama limewekeza kwa mbunge ili lipate pesa za kumnunulia vitu vidogovidogo huyo serengeti boys kwa hiyo inabidi awe mpole tu vinginevyo ajitoe kwenye mahusiano.
 
inawezekana kabisa jamaa akajitoa kwenye mahusiano kuliko kuendelea kunyanyaswa maana hata yeye anafanya kazi na mimi naona kwa lile jimama hapati chochote kile zaidi ya manyanyaso tu
 
Mahmetkid tufanyaje kuwasaidia?

Mkuu hii tabia inatakiwa kukomeshwa kuanzia kwenye vizazi vyetu, kwani hii tabia inaanzia toka utotoni na jinsi unavyomlea mtoto katika maisha yaliyo tegemezi katika maisha yake siku zote atakuwa tegemezi tu, hadi kwa mpenzi atakayempata siku za baadae hata hasipokuwa sugarmummy.

Tuwape watoto wetu makuzi yaliyo mema na yatakayomuwezesha kujitegemea muda wote.
 
Hivi sugar mammy (cougar) ana sugar dady wanaanzia na umri gani?

So far mtu kaitwa Cougar huyo tayari ni saa 10 jioni na kuendelea obviuos watakuwa wana pesa za kuwadanganya vijana-poa kiukweli hapo hakuna chembe ya penzi ni mwendo wa kuchunana tu hapo na kama ana mume jiandae kutwangwa risasi ya kiuno...
 
Rutashubanyuma hili jambo umeliongea na lipo sana
Sio kwamba ni jambo la kuficha ila miongoni mwa vijana limeenea sana
Na kinachotisha ni kuwa wengine wanatembea na wamama ambao ni size ya mama zao wazazi na wala hawaoni ajabu

Mr Rocky yaelekea ni kufa kwa sikio ambako hakusikii dawa............
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom