Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
[h=1]Dating cougars[/h]
Zipo sababu 10 za kwa nini vijana wengi wanatumbukia kwenye mahaba feki na cougars............zikiwemo:-
1) Uvivu wa kujipatia kipato kwa jasho lao wenyewe.....
2) Kupenda dezo na kukwepa dhiki na karaha za umasikini......
3) Kutojua mbinu za kuwatongoza wale wa saizi yao kwa baadhi yao.............
4) Kutojali jamii inawaonaje katika mahusiano na mama zao kiumri ili mradi tu watimize mradi wao........
5) Kukubali na kuvumilia kujisalimisha kwenye mfumo jike....................
6) Utetezi hadaa wa ya kuwa wao wenyewe wanapendana mara nyingi huwa ni danganya toto na ni kisingizio cha kuhalalisha mahusiano husika..................
7) "Cougar" huwa ana kiburi cha pesa na huitumia nafasi hiyo kuthibitisha ya kuwa yuko juu ya mfumo dume ambao huona umemyanyasa kiasi cha kutosha.....................
8) Tatizo la "Cougar" na mwathirika wake ni kuwa huwa hawatosheki na walichonacho na hivyo kila mmoja wao kuhangaika kutafuta mapungufu kwenye mahusiano yao...................hivyo kujikuta wana wapenzi zaidi ya mmoja.........
9) Wengi kwenye mahusianohaya huambukizana magonjwa ya zinaa kama vila miwaya, kaswsende, kisonono, saratani ya shingo ya uzazi n.k..............
10) Furaha wanayodai kuwa wameipata hujionyesha kwenye kadamnasi tu lakini wakiwa faragha huwa ni wapweke na kugubikwa na majonzi ya kuasi asilia.......................