Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Mkuu unaweza kuwa kweli kutokana na mtazamo wako, lakini you should know that this world ain't fair. Mimi na wewe hakuna mwenye hakika kama kwenye stil Dre hata scott alipewa idea na junk fella flani pale studo., lakini kwa kuwa yeye jina lake linauza ndio ikawa hiyvo.
Sometimes not everything mataz, just a Brand that mataz. Dre is a Brand himself.
Sometimes not everything mataz, just a Brand that mataz. Dre is a Brand himself.