Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.
Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za DGIS wa ofisi yetu nyeti, hazitaonekana kama ni early signs of incompetence on a part of the appointing authority?, au vetting is done right ila ma DGIS ndio wanaboronga wenyewe na kupelekea kuwa fired?.
Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, yaani ma DGIS 4 wanakuwa hired na fired ndani ya miaka 3!, its not normal, haijapata kutokea! what is it exactly or what could it be?.
Huko nyuma niliwahi kuandika na kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! jee inawezekana haya yanayoendelea sasa ya panga pangua ndio safisha safisha?
Public servants wote ni watumishi wetu sisi wananchi, ni sisi wananchi ndio tunawalipa mishahara yao kutokana na kodi zetu, hivyo tuna haki zote kuuliza au kuelezwa kuhusu utendaji wao, ikiwemo sababu za kutumbuliwa kwao, hivyo nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
Na ikitokea ni kweli kuna tatizo, naendelea kusisitiza tusimlaumu yeye kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, maana na yeye ni binadamu pia na sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tuendelee kumpa muda wa kutosha kabisa, na hata ikifika 2025 nyumba yetu ikawa bado haijakaa sawa, tumpe mitano tena ili akamilishe, anakwenda kutupatia katiba mpya.
Paskali
Cc. britanicca