Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

Mfumo ni mbaya zaidi ni wajinga haswa
 
Ni suala la muda tuu hakuna mwanzo usio na mwisho.

Uwezo mdogo wa kufikiri ndio unaoongoza taifa...

Kama mkuu wa mkoa anaweza kusema anaweza kuita jeshi waje kupambana na wafanyabiashara vile atakavyo yeye na sio wananchi, unadhani huyu mtu akili yake na chama chake ( maana anasimamia ilani ya chama ) itakuwa ya namna gani katika uwezo wakufikiri katika kutatua matatizo ya wananchi..

Kama kiongozi anasema anaweza kutumia mabomu kubangua korosho, huyu mtu niwaina gani na je wasaidizi wake hali yao na uwezo wao kufikiri utakuwa ya namna gani?

Pascal Mayalla
 
Nilishauri, mtu akitumbuliwa, tuelezwe sababu, na kama mtu ametumbuliwa kwa kupumzishwa tuu, pia tuelezwe ili public isiwaone kila mtumbuliwa ni jipu.
Kabla hajawatubua Kabudi, Lukuvi na Kitila, Mama alisema kwa hasira kuwa kuwa watu wako busy na 2025, hivyo amewapa nafasi!, baadaye kidogo akajua hajawatendea haki Lukuvi na Kabudi, akawateua kuwa wasaidizi wake maalum, bila ofisi wala chakufanya!, jana amewarudisha!. Kitendo cha kuwarudisha Lukuvi na Kabudi, kitamfanya Rais Samia kubarikiwa, kwasababu uteuzi huu sasa umewasafisha Kabudi na Lukuvi kuwa sio majipu.

Kitendo cha kumtoa Ummy kimya kimya bila kusema lolote, kutapelekea kuonekana ni jipu, naendelelea kusisitiza jee Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
Ila pia mimi ni mtu wa shukrani hivyo Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

P
 
kazi inaendelea News Alert: - Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
P
 
Naunga mkono hoja。
niliuliza humu Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?
kisha nikauliza Hizi pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao zote zina maslahi kwa taifa au kuna flip-flops ?.
kisha nikashauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
 
Our principal are not what you know ,but whom you know .
 
Anayewateua mbona mnaogopa kumjadiri Naye ama ndo kashaota Na Meno ya nyuma??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…