Could this be the best crib in E.A?

Hii inafaa uchagani, unafuga na mbuzi humo humo.

ha ha haaa I like this. Hapa tz utaona nyumba nzuri ya maana iko Mbezi beach lakini asubuhi kumetolewa vimbuzi na mang'ombe wanapelekwa malishoni.
 


In September 2010, Ezra called a press briefing at Emin Pasha, a Kampala uptown hotel in Nakasero, displaying stacks of bundled dollars as if to dispel claims he had run broke.
 
View attachment 257944


In September 2010, Ezra called a press briefing at Emin Pasha, a Kampala uptown hotel in Nakasero, displaying stacks of bundled dollars as if to dispel claims he had run broke.

Hapo alikuwa anadai hayo mabunda ni $3million dollars, lakini waandishi wa habari hawakuruhusiwa kusogelea na kuhakiki. Cha kuchekesha ni kwamba alikuwa anajaribu kujikosha wakati anadaiwa just $200,000, ambazo hajalipa mpaka leo! Habari hiyo hiyo inaendelea..."However, around the same time Ezra fled the country after Uganda Revenue Authority had secured an arrest warrant for the businessman over failure to remit taxes. The case is still in court pending arrest. "

habari zingine:
Ezra and the law
In 2010, Uganda Revenue Authority asked court to issue a travel ban and a freeze on Ezra’s known assets, claiming he had failed to remit more than Shs1.5b (about $500,000) in taxes.
The money, URA told this reporter, has now accumulated to Shs3.4b and the tax collectors have through his lawyers failed to force the businessman to pay the money.
Thus, URA said they would arrest Ezra on sight since the on spot warrant of arrest, which was issued in 2010 still stands.
Similarly in 1999, Ezra was charged before Buganda Road Court over three counts of impersonation, demanding property with menaces and forgery. He was subsequently found guilty by Justice Catherine Bamugemereire and ordered to pay a fine of Shs100,000 or serve a jail term of one year in Luzira prison. However, Ezra secured his freedom by paying the fine.
In 2000, he was again presented before the same court and charged with six counts of obtaining money by false pretence; however, the case was later dismissed for want of prosecution.
He was again in 2010 charged for issuing a bad cheque but the case was dismissed pending his arrest after he fled without a hearing.
source: Mike Ezra: The man who left Kampala guessing - Prosper

Angalia what it is said about his bid to buy leeds united:

But it was his £60 million audacious bid to buy Leeds United, a British soccer club that had gone bankrupt, that attracted international attention and scrutiny. In the end, the deal did not materialise, amidst suspicion that Ezra’s bid was aimed at drawing publicity because it was highly doubtable that he had that sort of money.
source: Flamboyant Michael Ezra subdued, at last

kumbe jamaa alikuwa anatafuta kiki tu...

habari zingine from the same source above:
Ezra was arrested in Nairobi, Kenya, last week and charged with drawing a bad cheque worth $200,000 (Shs 480 million) to a Kenyan company, SMR Ltd, in 2009 with fraudulent intentions.
He allegedly drew the cheque on October 20, 2009 at Ecobank Towers on Muindi Mbingu Street in Nairobi, knowing that his account had insufficient funds. Ezra allegedly disappeared after drawing the cheque, which prompted the company to drag him to court.
He obtained bail on Monday but remained in custody after failing to raise the required Shs 116m immediately. Judith Nabakooba, the police spokeswoman, told The Observer on Tuesday that Ugandan authorities were closely monitoring the case.
She revealed that they had, in fact “assisted” their Kenya counterparts in apprehending Ezra.
“They have consulted us and there is information we gave them, which helped them arrest him,” Nabakooba said, declining to disclose further details.

Last year, the police issued a warrant of arrest for Ezra, following his failure to clear multiple debts and allegedly issuing two bad cheques worth Shs 2 billion.

According to Ugandan police, Ezra issued false cheques to one Frank Katusiime and Dr Charles Mushabe, and failed to pay Uganda Revenue Authority (URA) more than Shs 1.2 billion in taxes.


.....bado hakuna mtu anajua a single business he does, all he is known for is showing off
 

Mkuu, lakini hizo zilikua ni accusations tu na aliachiwa due to lack of proof...

"The impression created was that the treatment was conducted over a period of time. However, there are no records to support the claims or evidence that he was treated by the complainant," said Mr Okelo. On the issue of the bouncing cheque, Mr Okelo ruled that the prosecution did not provide known specimens of the accused handwritings and also failed to call any documents examiners to check if indeed he was the person who signed the cheque. This was the second time Mr Muyoowa was being acquitted by a Kenyan court over allegations of issuing bad cheques. In February 2012, he was acquitted after the magistrate found that there was no evidence to support claims he issued a bad cheque worth Sh150,000 to Scholastica Adhiambo Konjaro as payment for airtime credit.
BREAKING… MIKE EZRA RELEASED | UGFix.com
 

Hivi serikali inakudai vipi kodi kama haijui unafanya biashara gani?
 
In 1999, Ezra was arrested and accused of blackmail, extortion of US$50,000 and impersonating a military intelligence officer. He was found in possession of a Directorate of Military Intelligence (DMI) Identity Card and a letter from the then Chieftaincy of Military Intelligence (CMI) head, Henry Tumukunde introducing him as a Special Presidential Agent. Police at the time said both documents were forged. He was charged at Buganda Road court where he pleaded not guilty to the charges. He was later released on bail, was asked to deposit his passport and his sureties deposited Shs1m in cash. It was not possible to establish who the sureties were by the time of filing this story. Nothing was heard of him after this
Michael Ezra- the man behind the mystery - National

Dont forget that the Observer, Redpepper and Blackmamba ni magazeti ya udaku kama ya Shigongo...
 
in February 2004, he shocked the world after the BBC reported the Ugandan businessman as having placed a bid to snatch up the then cash-strapped Premiership side – Leeds United, an English club.
The bid, which stood at Shs277.3b (60m Pounds), was unsuccessful but alerted the world of the arrival of a wealthy businessman in the tiny East African (Uganda) country.
In a report filed by the Sun, UK's largest tabloid, the bid is said to have spiked the club's share price by 14 per cent.

Sio kwamba the bid was unsuccessful??
 

Ni kweli ni magazeti ya udaku, lakini udaku huwa ni kwenye assumptions na implications sio FACTS. Facts ni kuwa jamaa ana kesi za kipuuzi puuzi ambazo mtu anayedai kuwa na net worth ya $1.5bilion hawezi kuwa nazo. Sasa ona anadaiwa $50,000 wakati apparently anatembea na $3mil usd.
Halafu it was also a fact kwamba nyumbani kwake alikutwa na sare za UPDF, na mambo mengine kama hayo ya kijambazi jambazi.
 
Hivi serikali inakudai vipi kodi kama haijui unafanya biashara gani?

inakudai kwenye biashara ambazo zipo sio zile ambazo hazijulikani. E.g Davis mosha anabiashara zinazojulikana za mafuta etc, lakini hawezi kudai vile vile kuwa ana mali za $1.5bilion dubai, hawezi kudai anaweza kununua Leeds United kwa over $100usd mil na mbwembwe zingine. Akifanya hivyo kila mtu atashtukia kuwa hana hela hiyo wala biashara za ku-afford hayo, huyo amejiongeza tu. Ila si ajabu kusikia anashitakiwa kwa kukwepa kulipa capital gains tax kwa kuuza nyumba.
 

hizo zilikuwa ni technicalities tu, ukiachiwa na mahakama sio lazima uwe innocent. Haiwezekani hata siku moja mtu mzima kama huyo Scholastica adai tu from nowhere kuwa katapeliwa na Ezra, pili, hii sio kesi yake ya kwanza kwa hiyo tayari ana record katika kesi hizi za utapeli tapeli. Na je isn't he still on the run from Ugandan authorities? Anakimbia nini si alipe tu, the guys claims to be worth $1.5bilion dollars USD not Zimbabwe! Yani yuko level za kina Mayweather!
 
Mkuu hapo inaelekea hujalielewa somo...

Somo nimelielewa sana ila nyie washobokea matajiri mnadhani huyo mwenzenu ana akili sana kiasi kwamba akiwa na miaka 30 ameweza kukusanya ukwasi mkubwa hivyo!! Mimi nawatahadhalisha nyie mnaopenda short cut kuwa huyo mwenzenu amerithi hizo pesa toka kwa marehemu baba yake aliyetuibia kwa kuifilisi GREENLAND benki na pia kule benki kuu ya Uganda alipokuwa gavana!! Sasa nisichoelewa ni kitu gani nyie mburula!!! Unless mniambie sio mtoto wa Marehemu Suleiman Kiggundu!!
 
Mkuu hapo inaelekea hujalielewa somo...

Somo nimelielewa sana ila nyie washobokea matajiri mnadhani huyo mwenzenu ana akili sana kiasi kwamba akiwa na miaka 30 ameweza kukusanya ukwasi mkubwa hivyo!! Mimi nawatahadhalisha nyie mnaopenda short cut kuwa huyo mwenzenu amerithi hizo pesa toka kwa marehemu baba yake aliyetuibia kwa kuifilisi GREENLAND benki na pia kule benki kuu ya Uganda alipokuwa gavana!! Sasa nisichoelewa ni kitu gani nyie mburula!!! Unless mniambie sio mtoto wa Marehemu Suleiman Kiggundu!!
 

What shows ni mtoto wa Dr Kiggundu...? Just the name and riches?
Appreciate one's hustles, hata kama karidhi, he is managing the riches well..
 
What shows ni mtoto wa Dr Kiggundu...? Just the name and riches?
Appreciate one's hustles, hata kama karidhi, he is managing the riches well..

Wewe mburula hata kama ana manage hela za wizi alizorithi vizuri hiyo isiwe motisha ya nyie mburula kuwa wizi wa baba zenu utawafikisha pazuri!! Hao wa aina yake mwisho wao ni mfupi sana!! History will judge me rightly!.
 
Wewe mburula hata kama ana manage hela za wizi alizorithi vizuri hiyo isiwe motisha ya nyie mburula kuwa wizi wa baba zenu utawafikisha pazuri!! Hao wa aina yake mwisho wao ni mfupi sana!! History will judge me rightly!.

Matusi ya nini sasa? Hahahaaaa.. Inaelekea una stress za maisha wewe si bure..

Mbona hujatuhakikishia kwamba ni mtoto wa Dr Kiggundu?
Leta na evidence kwamba Kiggundu aliiba pesa za greenland bank.. Hahaaa.
 
Huu utajiri kaupataje tuanzie hapo kabla ya kumsifu
 
Matusi ya nini sasa? Hahahaaaa.. Inaelekea una stress za maisha wewe si bure..

Mbona hujatuhakikishia kwamba ni mtoto wa Dr Kiggundu?
Leta na evidence kwamba Kiggundu aliiba pesa za greenland bank.. Hahaaa.

Mimi niko fresh kabisa sina stress za maisha !! Kwa taarifa yako aliyekuwa na stress za maisha ni huyo baba wa HERO wenu nyie mburula; na ndio maana Suleiman Kiggundu alikufa kutokana na stress za kesi baada ya kufilisi GREENLAND bank!!! Short cut za maisha ndio zinawaponza nyie vijana na mtakufa kabla ya wakati wenu mtatuacha sie wa zamani bado tunadunda!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…