sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Mimi niko fresh kabisa sina stress za maisha !! Kwa taarifa yako aliyekuwa na stress za maisha ni huyo baba wa HERO wenu nyie mburula; na ndio maana Suleiman Kiggundu alikufa kutokana na stress za kesi baada ya kufilisi GREENLAND bank!!! Short cut za maisha ndio zinawaponza nyie vijana na mtakufa kabla ya wakati wenu mtatuacha sie wa zamani bado tunadunda!!!
Any person in his rightful mind akisoma unachokiandika atajua tu maishi hayaendi poa kwa upande wako..hahahasaa
Sasa wewe unayejua mambo tuambie kwa facts and evidence..sio matusi. Jifunze ku argue kutoka kwa jMali ....
Wewe na huyo mburula mwenzio Jmali siwezi kujifunza lolote toka kwenu kwani nyie ni watu wa kushobokea watu wanaojitapa wana pesa kumbe ni ubishoo tu!! At least mwenzio hilo amelitambua kwani kuna mahala amewaorodhesha hao mnaowashokea kuwa wengi wao ni feki!!
"Huyu le bilionea ni akili kubwaaz, nilimpokea mwenyewe new york 1998, alilala kwangu miezi sita you know? " :becky:
Haya mburula unataka ushahidi gani zaidi ya huu wa kushobokea hao mabilionea feki?
Wewe na huyo mburula mwenzio Jmali siwezi kujifunza lolote toka kwenu kwani nyie ni watu wa kushobokea watu wanaojitapa wana pesa kumbe ni ubishoo tu!! At least mwenzio hilo amelitambua kwani kuna mahala amewaorodhesha hao mnaowashokea kuwa wengi wao ni feki!!
Huyu mchizi ana stress za maisha...kisa ana key board na anajua kusoma imekuwa shida
Hahauaaa.. Man, that gadamn hard life you are having, blame it on yourself.. Hahahaaa..
get a life, boss, and we shall appreciate. Yapping on this forum wont do you good.
Yuko vizuri, yes, Best crib? Hell no. Kuna sehemu Bongo hiyo ni nyumba ya mlinzi tu!
Sembe At Work I'm humbled you know.
kiongozi, this boy is the son of one Hajji Ssegawa... baba yake yuko live and kicking...Hata kama ulimpokea huko New York so what? Kama huyo mnamuita bisinessman wa huko Kampala ni mtoto wa marehemu Dr.Suleiman Kiggundu then hizo pesa zilitokana na marehemu baba yake aliyewahi kuwa gavana wa benki kuu ya Uganda halafu baadae akaja kuwa CEO wa Greenland Bank ambayo ilikuja filisika!! Kama ni mtoto wa marehemu Suleiman hizo hela amerithi hela ALIZOPIGA baba yake GREENLAND BANK na BENKI KUU YA UGANDA!!