Could this be the best crib in E.A?

Could this be the best crib in E.A?

huyu hamzidi Diamond Le Platinum.. Hata hako ka'mansion hakafikii mansion ya Diamond!
 
Mimi niko fresh kabisa sina stress za maisha !! Kwa taarifa yako aliyekuwa na stress za maisha ni huyo baba wa HERO wenu nyie mburula; na ndio maana Suleiman Kiggundu alikufa kutokana na stress za kesi baada ya kufilisi GREENLAND bank!!! Short cut za maisha ndio zinawaponza nyie vijana na mtakufa kabla ya wakati wenu mtatuacha sie wa zamani bado tunadunda!!!

Any person in his rightful mind akisoma unachokiandika atajua tu maishi hayaendi poa kwa upande wako..hahahasaa

Sasa wewe unayejua mambo tuambie kwa facts and evidence..sio matusi. Jifunze ku argue kutoka kwa jMali ....
 
Last edited by a moderator:

Wewe na huyo mburula mwenzio Jmali siwezi kujifunza lolote toka kwenu kwani nyie ni watu wa kushobokea watu wanaojitapa wana pesa kumbe ni ubishoo tu!! At least mwenzio hilo amelitambua kwani kuna mahala amewaorodhesha hao mnaowashokea kuwa wengi wao ni feki!!
 
dogo tuheshimiane onyesha wapi nimeshobokea yoyote yule ili nifiti cheo chako cha umburula ulichonipa. Ukishindwa kufanya hivyo utathibitisha kuwa una stress za maisha kama alivyosema serio
 
Last edited by a moderator:
"Huyu le bilionea ni akili kubwaaz, nilimpokea mwenyewe new york 1998, alilala kwangu miezi sita you know? " :becky:

Haya mburula unataka ushahidi gani zaidi ya huu wa kushobokea hao mabilionea feki?
 
Wewe na huyo mburula mwenzio Jmali siwezi kujifunza lolote toka kwenu kwani nyie ni watu wa kushobokea watu wanaojitapa wana pesa kumbe ni ubishoo tu!! At least mwenzio hilo amelitambua kwani kuna mahala amewaorodhesha hao mnaowashokea kuwa wengi wao ni feki!!

Mkuu, maisha magumu uliyo nayo jilaumu mwenyewe..sio kutupumzikia huku...
Ku appreciate hustle za mtu sio kwamba tunashobokea, bali unapata inspiration ili ukaze buti.... Kama dogo au baba yake kaiba, lete ushahidi, sio matusi.....
 
Huyu mchizi ana stress za maisha...kisa ana key board na anajua kusoma imekuwa shida

Nyie mburula, huo unga mnaouza na kubwia ndio utawaletea nyie uchizi kwa tamaa ya kutajirika haraka haraka!!
 
Nyie mburula, huo unga mnaouza na kubwia ndio utawaletea nyie uchizi kwa tamaa ya kutajirika haraka haraka!!

Hahauaaa.. Man, that gadamn hard life you are having, blame it on yourself.. Hahahaaa..
 
Hahauaaa.. Man, that gadamn hard life you are having, blame it on yourself.. Hahahaaa..

If you think being a drug pusher and addict is leading a good life then you are damned!!
 
If you think being a drug pusher and addict is leading a good life then you are damned!!
get a life, boss, and we shall appreciate. Yapping on this forum wont do you good.
 
get a life, boss, and we shall appreciate. Yapping on this forum wont do you good.

As far as I am concerned ,I have a life unlike you drug pushers who are always worried as to what would happen to you next!!
 
As far as I am concerned ,I have a life unlike you drug pushers who are always worried as to what would happen to you next!!

You dont have a life, thats why whoever is better than you is a drug pusher....shame upon you..
 
Hata kama ulimpokea huko New York so what? Kama huyo mnamuita bisinessman wa huko Kampala ni mtoto wa marehemu Dr.Suleiman Kiggundu then hizo pesa zilitokana na marehemu baba yake aliyewahi kuwa gavana wa benki kuu ya Uganda halafu baadae akaja kuwa CEO wa Greenland Bank ambayo ilikuja filisika!! Kama ni mtoto wa marehemu Suleiman hizo hela amerithi hela ALIZOPIGA baba yake GREENLAND BANK na BENKI KUU YA UGANDA!!
kiongozi, this boy is the son of one Hajji Ssegawa... baba yake yuko live and kicking...
 
Back
Top Bottom