King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sembe At Work I'm humbled you know.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Huyu le bilionea ni akili kubwaaz, nilimpokea mwenyewe new york 1998, alilala kwangu miezi sita you know? " :becky:
Hata kama ulimpokea huko New York so what? Kama huyo mnamuita bisinessman wa huko Kampala ni mtoto wa marehemu Dr.Suleiman Kiggundu then hizo pesa zilitokana na marehemu baba yake aliyewahi kuwa gavana wa benki kuu ya Uganda halafu baadae akaja kuwa CEO wa Greenland Bank ambayo ilikuja filisika!! Kama ni mtoto wa marehemu Suleiman hizo hela amerithi hela ALIZOPIGA baba yake GREENLAND BANK na BENKI KUU YA UGANDA!!
Hata kama ulimpokea huko New York so what? Kama huyo mnamuita bisinessman wa huko Kampala ni mtoto wa marehemu Dr.Suleiman Kiggundu then hizo pesa zilitokana na marehemu baba yake aliyewahi kuwa gavana wa benki kuu ya Uganda halafu baadae akaja kuwa CEO wa Greenland Bank ambayo ilikuja filisika!! Kama ni mtoto wa marehemu Suleiman hizo hela amerithi hela ALIZOPIGA baba yake GREENLAND BANK na BENKI KUU YA UGANDA!!
Angalia tena hayo maneno yangu utagundua yako kwenye quotation marks, kwa kifupi hujaelewa kabisa namaanisha nini, walionielewa wame-like the comment. "kufwa for me please" :becky:
cc: SupuyaPweza
Ameanza lini hii biashara?
His breakthrough is said to have come when he supplied gumboots to Uganda People's Defence Forces some years back.. 8 years ago. He is so much involved in real estate and a string of auxiliary businesses. He is not on facebook, twitter, instagram or linkedin...
Supplying gumboots at 22.??? Someone is behind his success. Trust me!!
Mabilionea wengi wa uganda huwa magumashi mwisho wa siku hugundulika kuwa fraudsters. Uliwahi kumsikia michael ezra?
Micheal Ezra bado anatesa.. Ana business dealings nyingi sana visiwani Sychelles... Sema tu kapotea kwenye public eyes...
Mabilionea wengi wa uganda huwa magumashi mwisho wa siku hugundulika kuwa fraudsters. Uliwahi kumsikia michael ezra?
Hata kama ulimpokea huko New York so what? Kama huyo mnamuita bisinessman wa huko Kampala ni mtoto wa marehemu Dr.Suleiman Kiggundu then hizo pesa zilitokana na marehemu baba yake aliyewahi kuwa gavana wa benki kuu ya Uganda halafu baadae akaja kuwa CEO wa Greenland Bank ambayo ilikuja filisika!! Kama ni mtoto wa marehemu Suleiman hizo hela amerithi hela ALIZOPIGA baba yake GREENLAND BANK na BENKI KUU YA UGANDA!!
Yuko vizuri, yes, Best crib? Hell no. Kuna sehemu Bongo hiyo ni nyumba ya mlinzi tu!
Hapana mkuu, nipe hints
Kijana kasomea sheria...
Ka invest sana kwenye real estate and property development, and one of his prominent properties is Ham Tower. Juzi tu Museveni kumu endorse ku karabati Nakivubo Stadium (Build, Own, Operate and transfer, kama unaelewa) Ana fanya biashara ya tours and safaris. Naskia pia ananunua kampuni zinazoelekea kufa nakuzifufua..
Sifa moja ya matajiri feki huwa ni matanuzi ambayo lengo ni kujionyesha kuwa wana hela. Wanajulikana zaidi kwa matanuzi yao zaidi ya biashara zao. Na wakikuonyesha hizo biashara wanazodai ndizo zinazowaingia fedha utakuta ni biashara ambazo sio za uzalishaji bali ni investments, mara nyingi huwa ni real estate, you know? The type of businesses which one starts AFTER MAKING MONEY (or stealing money). Unakuta bwana mdogo anatanua kwenye instagram ukimuuliza anadai ni mfanyabiashara, biashara gani? anakuonyesha zinga la shopping mall au apartment buildings. Ukimuuliza zaidi ya hapo mtagombana tu. Huwa hawanaga CV inayoonyesha wameanzia wapi huwa wanaibukia tu straight to the top.
1. Michael ezra: Huyu bwana hajulikani hata alikuwa anafanya biashara gani, aliibuka tu from nowhere akaanza kuandikwa kwenye vyombo vya habari eti anataka kununua Leeds United ya uingereza kwa zaidi ya $100 milioni, mara anaandikwa anataka kununua PRIVATE Airbus, na makeke mengine kama hayo. Alikuwa anatanua tu kwa kununua Lamborghini, kufadhili timu za mpira za Uganda n.k lakini kwa fedha ambazo huku kwetu hata kina papaa msofe na King 'msukuma' wanazo.
Baadae mashtaka ndio yakaanza kumuandama, mali zake uganda zikapigwa mnada kwa kutolipa kodi ndogo tu ya $500,00, Kenya nako alishtakiwa kwa kudaiwa hela za kitoto kweli. Mtu anayejitamba kuwa na mali za $1.5bilion Dubai anakamatwaje kwa kudaiwa $200,000? Iligundulika kwenye makesi yake kuwa jamaa alikuwa anakopa kwa kutumia image yake feki kuwa ni successful business man halafu ile hela ndio analia bata! Mind you mpaka sasa hivi NOBODY KNOWS biashara hata moja huyu bwana anayofanya!
2. Meddy sentongo: Huyu naye aliibuka tu akaanza kutumia hela kama kichaa, akaanza kuandikwa na vyombo vya habari, mara aende marekani kununua escalade, mara alipe wanamuziki hela wamtungie track, na mbwembwe zingine. Biashara anayofanya HAIJULIKANI! Kumbe jamaa ana demu wake anaitwa 'bad black', yeye na huyu bad black walimtapeli mzungu millions of dollars (sikumbuki exactly but around $10million) wakaanza matanuzi. Imagine jamaa anamtoa demu wake kafara kwa mzungu ili wapate fedha! Demu asivyo na aibu alivyokuwa anajitetea mahakamani alidai yeye hajatapeli, ila ni kwamba eti mzungu alimpa mabilioni yoote hayo kwa sababu alikuwa anampa 'tigo'! You can't make this up soma mwenyewe: I was paid billions for sex - Bad Black
3. Ivan semmwaga + zari : huyu zari ni yule 'mke' wa diamond, huyu ivan alikuwa mumewe. Ivan anakaa SA. ivan na zari walikuwa wanapiga misele na chopper huko kampala, wanafadhili timu za mpira za uganda, kila goli wanalipwa timu nzima! Pati kubwa kubwa, wanamiliki hotels na properties nyingi. Ukimuuliza ivan anafanya biashara gani huko SA unajua atakuambia nini? eti ni MGANGA WA KIENYEJI a.k.a Sangoma! I kid you not that is his alleged profession. Lakini ukishaona lifestyle yake ya lamborghinis na choppers unajiuliza huyu sangoma wateja wake ni kina zuma au?
4. Huyu bwana mdogo mwenye hilo crib wenzake wanadai walikuwa naye majuzi tu kwenye biashara ndogo ndogo za kwenda china kuleta mizigo na kuja kuuza uganda, wanashangaa mwenzao kawaje tajiri fasta namna hii. Baadae kaja kuwa linked na wizi wa $1.4m za benki ya equity, read here: Inside Hamâs Multi Billion House, Speaks Out on Equity bank Heist | Red Pepper Uganda. Anajitamba kuwa ana net worth ya $200m hivyo hawezi kuwa ameiba $1.4mil. Lakini watu wazima tunajua hakuna tajiri wa kweli ambaye yuko comfortable revealing his net worth. Hiyo ni sifa ya matajiri feki. Ila dogo kwa vile kapiga shule dili zake anafanya kikubwa kama jamaa zetu wa fedha za mboga huku kwetu. Watendaji serikalini huwa wanastopisha madili yake ya kimagumashi e.g kujenga bila permit, jamaa akiona watendaji wanamzingua yeye anatinga straight kwa Museveni, museveni nalo linatoa oda, dili inapigwa. Nakivubo board plead with Museveni over Nakivubo
Teh teh teh kwahiyo mkuu unamaanisha hawa waganda na wahaya wanafanana tu kwa misifa