Could This Report Be True That There is a New Scramble for Tanzania BTW Europe vs Russia?

Acha wa scramble ikiwa wenye nchi wanawaza tu ujingaujinga simba na yanga, na walio madarakani wanawaza kushibisha matumbo yao na kurithishana vizazi kwa vizazi.

Mikataba ya ovyo ovyo na kuto wajibika kwa ajili ya mstakabali wa taifa.
vyombo vyenye dhamana vipo tu kusubiri mri za walio waweka pale hakuna hata anaye thubutu kumfunga paka kengele.

Wapo tayari kumpoteza mtu akizumgumzia ufisadi ila wakati huo huo wapo tayari kukwepesha mkwepa kodi asiingie matatani kule migodini bandarini na mipakani

NB SIJASIKIKIZA KILICHOMO HUMO NITASIKILIZA BAADAE NA KUJA KUJIBU KWA HOJA Nimeanza na heading yako kwanza
 
Acha wa scramble ikiwa wenye nchi wanawaza tu ujingaujinga simba na yanga, na walio madarakani wanawaza kushibisha matumbo yao na kurithishana vizazi kwa vizazi.

Mikataba ya ovyo ovyo na kuto wajibika kwa ajili ya mstakabali wa taifa.
vyombo vyenye dhamana vipo tu kusubiri mri za walio waweka pale hakuna hata anaye thubutu kumfunga paka kengele.

Wapo tayari kumpoteza mtu akizumgumzia ufisadi ila wakati huo huo wapo tayari kukwepesha mkwepa kodi asiingie matatani kule migodini bandarini na mipakani

NB SIJASIKIKIZA KILICHOMO HUMO NITASIKILIZA BAADAE NA KUJA KUJIBU KWA HOJA Nimeanza na heading yako kwanza
 
Pascal Mayalla ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa Tanzania tupo kwenye hatua nyeti sana ya kukua kiuchumi.
Mababu zetu notably The late and great Julius Nyerere waliupigania uhuru,wakaweka misingi lakini hawakuwa na mtaji.
Walifanya vyema sana kutuacha njia panda kati ya kuamua yupi rafiki na yupi mnafiki.Walitendea haki nafasi zao kwa nyakati zao.
Kwa wote waliofuatia kwa umakini mkubwa na kwa kadri walivyojaaliwa wameweza kutufikisha hapa tulipo...sasa ni wakati wa kuongeza umakini mkubwa sana katika namna ya kuvuka hatua hii muhimu.
Hakuna atakayetupenda bali sisi wenyewe.
Kuteleza kupo lakini tusikate tamaa au kuwehuka.
Tusonge mbele kama wamoja kwa mara nyingine tena.Tufanyie kazi makabrasha ya siri tutafika.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 

Wanabodi

Watch this


View: https://youtu.be/mjaFkFP3swk?si=HQWWh1DplyU1uuzG
Could this be true?.

Paskali
Paskali, haya mambo unayoyasema, tunasikia kila siku kutoka kwa Mwigulu Nchemba, huyo jamaa ambaye ni mjinga na mpumbavu namba moja hapa TZ. Mwigulu alisema eti "Mabeberu wanatuonea wivu kwa sababu tuna RARE EARTH nyingi ya kutosha, kitu ambacho si cha kweli. Nchi nyingi zina "rare earth" ingawa sisi tunayo kweli rare earth lakini siyo nyingi kama hizo nchi kubwa, na hiyo siyo sababu.....Ni kama vile tunasema tunayo gold, nchi nyingi zikiwemo nchi kubwa kama USA, Canada, Russia, Australia na nyingine Europe wanayo gold nyingi. Ukisema Natural gas, au Oil......Tumepitwa na nchi nyingi kwa kuwa na reserve ya Natural gas......Mozambique hawa jirani zetu wanayo akiba ya Natural gas mara mbili na nusu ya Tanzania, na hii project yao ni very viable kuliko yetu. Yetu wamechimba miaka zaidi ya 25 iliyopita......Inamnufaisha nani? Leo gas ya kupikia inatoka nje kupitia makampuni ya watu wasioeleweka kama Rostam Aziz na wengineo. Kulikuwa na haja gani ya kuagiza gas nje wakati hapa kwetu yanachimbwa? Kwa kukupa hitimisho: Hilo la kusema tunaonewa wivu ni suala la kipumbavu, Hakuna mwenye shida na hizo natural resources ambazo kwanza si nyingi.....DRC (Congo) ambapo kuna kila kitu wangesemaje? Maana wao wana kila kitu kinachohitajika kwa wingi hapa duniani? Tuache hizo propaganda za Ki-CCM, hazitufikishi mbali, tumezoea kusikia na kuaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza kwa kuwa na ma-spy wazuri, tumeaminishwa kuwa tuna maisha bora (Haya utayasikia hata kwenye university zetu kutoka kwa maprofessa makada wa CCM)
Kwa ushauri wangu kwako Paskali, refrain from this kind of behavior, acha kuongea vitu ambavyo havipo......Kila kitu kipo wazi siku hizi......ZILE ZAMA ZA PROPAGANDA ZIMEKWISHA.
Cheap story
Go on buying those stooges
[They are for]Your money, the corrupt Nigerians are ready for it!
 
apedomia tu, how can you justify hii sio project Kama zile za kombo US na ya yule mnageria mwingine kwa kushirikiana na balile??

Wanalipa billion 8 wasafishwe halafu wanaomba billion 2 msaada, akili au topelicious?
hapo kwa topelicious mkuu patamu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…