Could This Report Be True That There is a New Scramble for Tanzania BTW Europe vs Russia?

Could This Report Be True That There is a New Scramble for Tanzania BTW Europe vs Russia?
Europe, Russia, China and Arabs.

Duh, maelezo kwenye hiyo video ni propaganda tupu kama ule uzushi na uongo wa Mwigulu.

Nadhani hii ndiyo ile tulisikia mafisadi yamenunua corrupt Nigerians kuwasafisha
 
Samia na Abdul mwanae hawana akili. Hawawezi kufanya maamuzi yenye hekima kwa maslahi ya Tanganyika.
Kwa sasa wanachofanya ni kujinufaisha!
 
Tanzania haina immunity kwa hilo!
Nimeisikiliza hii makala nimetoka na hili tu,
Kama Mama ameamua kuiangukia Russia tuna safari ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…